Naenda Kusema Kwa Mama!

Naenda Kusema Kwa Mama!

Michael Scofield

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
1,225
Reaction score
473
Ni kabinti kenye umri chini ya miaka 18, Kwa kuwa kalikuwa kashaanza mchezo wa kikubwa nami nikajitosa kuomba mchezo, bila hiyana kakakubali kwa ahadi wazazi wake watakapolala mida ya saa sita, saba usiku nimgongee dirishani.

Mida ilipofika nikagonga dirisha la binti kidogokidogo kwa kuhofia nisije sikiwa na wazazi wake, ikawa kimya!! kila nikigonga ni kimya hamna dalili za kufungua mlango.

Pembeni ya dirisha kulikuwa na bomba la maji, nikaanza kuyachota yale maji na kuyamwaga ndani kupitia dirishani, mwaga maji kimya!! mwaga.. mwaga... binti kimya!!

Nikaona mpira uko pembeni nikaunganisha bombani nikaelekeza dirishani, mwaga maji... Binti akazinduka! Hamad yuko kwenye dimbwi la maji! godoro maji matupu!
Binti akafungua mlango moja kwa moja akaenda kuwagongea wazazi wake, mtumee! mie mbio Jambo limezua Jambo!

Unajua nini kilifuatia..........? si mimi michael ni rafiki yangu enzi ya ujana
 
Bora kalikuwa kamelala ama sivyo ungekuwa na case ya kulawiti
 
umenikumbusha kijijini
ilikuwa tunasubiri hadi walale
kule wanamme wanakaa usiku wamekoka moto wanaota.

Basi nilikaa nimesubiri wazee wakalale nimgongee binti.
Nikawa nimejilaza kwenye jiwe kubwa
hadi nikapitiwa usingizi
nikaja kuamshwa na maji kama umande unanidondokea

ahamadi, nilipoamka kumbe ni fisi alikuwa ananichunguza kama nimekufa ale mzoga
nilikimbia nikawavamia walokuwa wanaota moto
baskeli yangu ilibidi ilale kichakani nilipokuwa nimepaki.

Dah, ujana maji ya moto.
 
Mh ni wewe bwana si rafiki yako, kweli watu wanatoka mbali na haya ndio maisha mengi yakukumbuka na mengine yakusahau, mengine yakuchekesha mengine ya kulia na kujuta lakini vyote hivyo ni maisha.
 
Ni kabinti kenye umri chini ya miaka 18, Kwa kuwa kalikuwa kashaanza mchezo wa kikubwa nami nikajitosa kuomba mchezo, bila hiyana kakakubali kwa ahadi wazazi wake watakapolala mida ya saa sita, saba usiku nimgongee dirishani.

Mida ilipofika nikagonga dirisha la binti kidogokidogo kwa kuhofia nisije sikiwa na wazazi wake, ikawa kimya!! kila nikigonga ni kimya hamna dalili za kufungua mlango.

Pembeni ya dirisha kulikuwa na bomba la maji, nikaanza kuyachota yale maji na kuyamwaga ndani kupitia dirishani, mwaga maji kimya!! mwaga.. mwaga... binti kimya!!

Nikaona mpira uko pembeni nikaunganisha bombani nikaelekeza dirishani, mwaga maji... Binti akazinduka! Hamad yuko kwenye dimbwi la maji! godoro maji matupu!
Binti akafungua mlango moja kwa moja akaenda kuwagongea wazazi wake, mtumee! mie mbio Jambo limezua Jambo!

Unajua nini kilifuatia..........? si mimi michael ni rafiki yangu enzi ya ujana

iyo ni zamani...sasa ujuzi umekomaa...unawamendeaje vibint kama hao??mana tabia ni kama ngozi!
 
umenikumbusha kijijini
ilikuwa tunasubiri hadi walale
kule wanamme wanakaa usiku wamekoka moto wanaota.

Basi nilikaa nimesubiri wazee wakalale nimgongee binti.
Nikawa nimejilaza kwenye jiwe kubwa
hadi nikapitiwa usingizi
nikaja kuamshwa na maji kama umande unanidondokea

ahamadi, nilipoamka kumbe ni fisi alikuwa ananichunguza kama nimekufa ale mzoga
nilikimbia nikawavamia walokuwa wanaota moto
baskeli yangu ilibidi ilale kichakani nilipokuwa nimepaki.

Dah, ujana maji ya moto.

usiniambie kuwa huko kijijini kwenu mna tabia ya kusagana we mwanamke!
 
Kongosho usijutie wewe kuumbwa mwanamke, ni maumbile tu na huna la kufanya kujibadili uwe mwanaume. Ikubali hiyo hali yako ya kuumbwa mwanamke ili uwe na amani moyoni na akilini mwako.
 
Haya bwana, ungedakwa ingekuwa kama ya yule alietwa Msomi malaya...
 
Back
Top Bottom