Naenda Marekani, ni bidhaa gani naweza kununua zinazohitajika sana hapa Tanzania?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Salute comrades,

Kuna exchange programe ya NGO moja nilifanya application, nikaitwa interview mara kadhaa na hatimae jana nilipokea email kuwa mimi ni mmoja wa vijana kumi ambao tutaenda kwenye programme hiyo jijini Washington DC kwa mwezi mmoja.

Lengo la thread hii si kutoa taarifa kwamba naenda Marekani, hapana, bali nahitaji mawazo ya kibiashara kutoka kwenu ambao mmeshawahi kwenda Marekani. Ningependa mnishauri, ni vitu gani ambavyo ni bei rahisi nchini Marekani na hapa Tanzania vitu hivyo vinahitajika naweza nikauza kwa faida.

Visiwe vitu vikubwa sana maana mtaji wangu ni mdogo, naombeni ushauri kutoka kwenu wenye mapenzi mema. Asanteni sana wakuu
 
Ukifika utauliza bei.
Nimekaa kwa muda wenye nafasi wakifika nawapisha
 
Salute comrades,

Kuna exchange programe ya NGO moja nilifanya application, nikaitwa interview mara kadhaa na hatimae jana nilipokea email kuwa mimi ni mmoja wa vijana kumi ambao tutaenda kwenye programme hiyo jijini Washington DC kwa mwezi mmoja.

Lengo la thread hii si kutoa taarifa kwamba naenda Marekani, hapana, bali nahitaji mawazo ya kibiashara kutoka kwenu ambao mmeshawahi kwenda Marekani. Ningependa mnishauri, ni vitu gani ambavyo ni bei rahisi nchini Marekani na hapa Tanzania vitu hivyo vinahitajika naweza nikauza kwa faida.

Visiwe vitu vikubwa sana maana mtaji wangu ni mdogo, naombeni ushauri kutoka kwenu wenye mapenzi mema. Asanteni sana wakuu
Fuata kilichokupeleka, ndio maana huwa wabongo tunazingua na kuonekana hatujali majakumu tuliyopewa Bali tunajali maslahi binafsi.
Kwani visa yako inasema unaenda for what purpose..
Chagua moja mzeya... Wahenga walisema
 
Nenda kwanza ufanye ulichoitiwa.
Ukibahatika kupata mda jichanganye kitaa, (jionee usisubiri kuambiwa) nina hakika utatoka huko na mipango mingi ya kufanya.
 
Rahisi natumaini ni kulinganisha na bei za hapa Tz. Cha kufanya angalia bei za vitu fulani hapa then kalinganishe na huko USA halafu piga hesabu zako.
 
Salute comrades,

Kuna exchange programe ya NGO moja nilifanya application, nikaitwa interview mara kadhaa na hatimae jana nilipokea email kuwa mimi ni mmoja wa vijana kumi ambao tutaenda kwenye programme hiyo jijini Washington DC kwa mwezi mmoja.

Lengo la thread hii si kutoa taarifa kwamba naenda Marekani, hapana, bali nahitaji mawazo ya kibiashara kutoka kwenu ambao mmeshawahi kwenda Marekani. Ningependa mnishauri, ni vitu gani ambavyo ni bei rahisi nchini Marekani na hapa Tanzania vitu hivyo vinahitajika naweza nikauza kwa faida.

Visiwe vitu vikubwa sana maana mtaji wangu ni mdogo, naombeni ushauri kutoka kwenu wenye mapenzi mema. Asanteni sana wakuu

SALUTE
HABARI,
Hongera sana mkuu kwa kupata hiyo nafasi itumie vema,Ila wachana na hiyo habari ya kuleta vitu kuuza hapa hiyo kama ungeenda china sawasawa.Na kushauri utafute fulsa nyingine za biashara na sio hinyo vitu vidogo vya kubeba kwenye begi lazima viwe vya eletroniki ambavyo lazima bei itakuwa kubwa.Ulizia mahali unapoweza kupata machapishi yenye fulsa za biashara kwa marekani na nchi za nje hapo utapata adress za watu wengi ukiweza kuwatafuta mkaonana ana kwa ana huwa inakuwa mwanzo mkubwa sana.Tumia nafasi hiyo kwa mipango mikubwa ya mbeleni.
Nakutakia safari njema na mafanikio mema.

LUMUMBA
 
Fuata kilichokupeleka, ndio maana huwa wabongo tunazingua na kuonekana hatujali majakumu tuliyopewa Bali tunajali maslahi binafsi.
Kwani visa yako inasema unaenda for what purpose..
Chagua moja mzeya... Wahenga walisema
Kama ukifanya kilichokupeleka na ukafanya vizuri, muda ambao wanasema ni wa matembezi binafsi ningependa kutumia mda huo kwaajili ya kuangalia fursa za kibiashara na si kuangalia maghorofa
 
u
Nenda kwanza ufanye ulichoitiwa.
Ukibahatika kupata mda jichanganye kitaa, (jionee usisubiri kuambiwa) nina hakika utatoka huko na mipango mingi ya kufanya.
barikiwa
 
ukipata muda jisogeze brooklyn ndio manzese yao utaeza kupata vitu chee,nimekushauri kadri ya ulivyoomba
 
HABARI,
Hongera sana mkuu kwa kupata hiyo nafasi itumie vema,Ila wachana na hiyo habari ya kuleta vitu kuuza hapa hiyo kama ungeenda china sawasawa.Na kushauri utafute fulsa nyingine za biashara na sio hinyo vitu vidogo vya kubeba kwenye begi lazima viwe vya eletroniki ambavyo lazima bei itakuwa kubwa.Ulizia mahali unapoweza kupata machapishi yenye fulsa za biashara kwa marekani na nchi za nje hapo utapata adress za watu wengi ukiweza kuwatafuta mkaonana ana kwa ana huwa inakuwa mwanzo mkubwa sana.Tumia nafasi hiyo kwa mipangi mikubwa ya mbeleni.
Nakutakia safari njema na mafanikio mema.

LUMUMBA
Inatia moyo sana kuona reply kama hizi, nashukuru sana boss. Ngoja niingie kwenye nianze kuangalia online business directory
 
Fuata kilichokupeleka, ndio maana huwa wabongo tunazingua na kuonekana hatujali majakumu tuliyopewa Bali tunajali maslahi binafsi.
Kwani visa yako inasema unaenda for what purpose..
Chagua moja mzeya... Wahenga walisema
Wacheni kumkatisha tamaa mwenzenu! Kwani kuna ubaya gani akimaliza hayo mafunzo siku 2 akapitapita madukani? Unasafiria nyota za wahenga? Eti mshika mbili moja humponyoka?
 
Vitu vya marekani ni ghali sio rahisi kupata bidhaa ukaja kuuza kwa margin labda kwa matumizi yako binafsi.
 
Tafuta vitu rahisi rahisi ambayo kwa style yake bongo haijaingia
Mf. Perfume, kandambili za urembo flani huku bongo hazipo, saa, n.k

Mavitu makubwa na Mazito utasumbuliwa sana na Rafiki zao Yono Auction mart (TRA). , pia epuka mizigo mizito

Kama Kamtaji ni zaid ya kasungura angalia vinguo vya Watoto
Nguo za Kiume achana nazo kwa kuwa zina uzito mkubwa mfano, Jeanz au Cardet hivyo gharama yake ni kubwa na soko lake si kubwa
 
Marekani nguo ni gharama labda anunue nguo hapa Tz akauze US.
 
kwa vyuma vilivyokaza items za marekani huwezi uza bongo hata siku moja, labda ingekua uchinani
 
Salute comrades,

Kuna exchange programe ya NGO moja nilifanya application, nikaitwa interview mara kadhaa na hatimae jana nilipokea email kuwa mimi ni mmoja wa vijana kumi ambao tutaenda kwenye programme hiyo jijini Washington DC kwa mwezi mmoja.

Lengo la thread hii si kutoa taarifa kwamba naenda Marekani, hapana, bali nahitaji mawazo ya kibiashara kutoka kwenu ambao mmeshawahi kwenda Marekani. Ningependa mnishauri, ni vitu gani ambavyo ni bei rahisi nchini Marekani na hapa Tanzania vitu hivyo vinahitajika naweza nikauza kwa faida.

Visiwe vitu vikubwa sana maana mtaji wangu ni mdogo, naombeni ushauri kutoka kwenu wenye mapenzi mema. Asanteni sana wakuu
Ukifika huko tuwasiliane kuna kitu nikuuagizie
 
Back
Top Bottom