Naenda Marekani, ni bidhaa gani naweza kununua zinazohitajika sana hapa Tanzania?

Naenda Marekani, ni bidhaa gani naweza kununua zinazohitajika sana hapa Tanzania?

Mkuu kweli unaenda marekani, basi kama sisi ukituletea tu Mange Kimambi itakuwa bidhaa adimu kwetu Mkuu utani tu.
Mkuu nikutakie safari njema
 
Back
Top Bottom