BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Salute comrades,
Kuna exchange programe ya NGO moja nilifanya application, nikaitwa interview mara kadhaa na hatimae jana nilipokea email kuwa mimi ni mmoja wa vijana kumi ambao tutaenda kwenye programme hiyo jijini Washington DC kwa mwezi mmoja.
Lengo la thread hii si kutoa taarifa kwamba naenda Marekani, hapana, bali nahitaji mawazo ya kibiashara kutoka kwenu ambao mmeshawahi kwenda Marekani. Ningependa mnishauri, ni vitu gani ambavyo ni bei rahisi nchini Marekani na hapa Tanzania vitu hivyo vinahitajika naweza nikauza kwa faida.
Visiwe vitu vikubwa sana maana mtaji wangu ni mdogo, naombeni ushauri kutoka kwenu wenye mapenzi mema. Asanteni sana wakuu