Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 449
- 752
Naposa natoaSogea tukae?
Uhakika wa nini?Mkuu una uhakika lakin?
Na uyasemayo mana ndoa sio rahisi kama unavyofikiri, na hutaki mzinguaji je! wewe sio mbabaifu?Uhakika wa nini?
Kwani wewe unataka nini huko Tanga?Uhakika wa nini?
Na uyasemayo mana ndoa sio rahisi kama unavyofikiri, na hutaki mzinguaji je! wewe sio mbabaifu?
Kwani wewe unataka nini huko Tanga?
Ndio hiyo wiki moja tu mkuu!Hayo sio part ya hii discussion.Mimi hapa nataka mwongozo wa kwenda Tanga kwamba nianzie wapi ili jambo langu litimie.
Anataka kwa wiki moja apate mke.Hapendi kuwa na matumizi mabaya ya likizo ya wiki moja.Ingawa,hana mwenyeji aendako/hajui aendako.Na uyasemayo mana ndoa sio rahisi kama unavyofikiri, na hutaki mzinguaji je! wewe sio mbabaifu?
Yeye atakubali kumuozesha bint yake kwa mtu waliyefahamiana wiki moja tu!?Anataka kwa wiki moja apate mke.Hapendi kuwa na matumizi mabaya ya likizo ya wiki moja.Ingawa,hana mwenyeji aendako/hajui aendako.
Yeye atakubali kumuozesha bint yake kwa mtu waliyefahamiana wiki moja tu!?
Kachukue mdigo utanishukuru
Hilo nalo ni la kujadiliwa kikao chetu cha wanaume mwishoni mwa wiki hii.Yeye atakubali kumuozesha bint yake kwa mtu waliyefahamiana wiki moja tu!?
Nenda Mkinga wilayani huko..Wadigo wanapatikana wapi? Nianzie wapi?
Nenda Mkinga wilayani huko..
Mkuu akamchukue kama chupa ya chai tu!Kachukue mdigo utanishukuru