Naenda Tanga kuoa

Naenda Tanga kuoa

Habari wadau, i hope wote mpo poa sana.

Mimi ni kijana wa miaka 28,mkazi wa Dar es Salaam.

Nimekuja humu kuonba muongozo wa kwenda kuoa Tanga,nimeamua kwenda huko kutokana na nimechoka kuishi mwenyewe na mademu huku wa dar naona wazinguaji na mimi binafsi sipendi kusumbuka na kubembeleza sana.

Huko tanga sina mwenyeji wala sijui kwa kuanzia.Nina liziko ya wiki kufanikisha
Hayo sio part ya hii discussion.Mimi hapa nataka mwongozo wa kwenda Tanga kwamba nianzie wapi ili jambo langu litimie.
Ulifanikiwa
 
Ni rahisi Sana kupata uwezi amini.... Fika korogwe au lushoto.... Ulizia ( watu wenye magenge au bodaboda) jifanye unamtafuta mtaalam wa kukurekebishia Mambo yako... Utapewa simu yake au utapelekwa.... Ukipata access yake mwambe shida yako mkumbushe kuwa shughuli yake inamkutanisha na watu wengi na wanamweleza shida zao, mhaidi zawadi nono.. Ndugu hutaamini sampuli za kutosha utazozipata.. Ila kuwa makini na wasichana jirani na korogwe mjini wengi wamezalishwa.... Hakikisha unaingia ndani kidogo angalau 25km kutoka mjini...... Utakuja nishukuru
 
Kumbuka waislamu
Sio ukweli waislamu wapo na wakristo wapo..... Mfano lushoto mjini wakristo wengi tu Ila ukisogea mlalo wengi ni waislam..... Kologwe ,msambiasi, kwa masimba, bungu, ambangulu na kwingineko wakristo wengi tu wakutosha
 
Back
Top Bottom