Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kwakuwa unalilia Tanga hasa basi
NENDA KWAMSISI, HANDENI, TANGA
UTAPATA
NENDA KWAMSISI, HANDENI, TANGA
UTAPATA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu fanya kunisukumia namba Pm naona umefunga Pm yako.Yes, ila usimwogope ni mtaalam ila ndio mzee wa kijiji na anajua kila mtu na anaweza kukupa wanadada wakorogwe.kijijini wazuri wenye heshima na wakakupenda kwa moyo ni mtu mzima sana tena haitaji pesa nyingi
Sawa nitakuja mieMkuu fanya kunisukumia namba Pm naona umefunga Pm yako.
Nakungoja mkuu.Sawa nitakuja mie
Mkuu fanya kusukumia namba yake PM, nipo serious sanaYes, ila usimwogope ni mtaalam ila ndio mzee wa kijiji na anajua kila mtu na anaweza kukupa wanadada wakorogwe.kijijini wazuri wenye heshima na wakakupenda kwa moyo ni mtu mzima sana tena haitaji pesa nyingi
Siwezi utapata tu humu poleMkuu fanya kusukumia namba yake PM, nipo serious sana
Tanga mjini yote, mkinga, pangani kwa wadigo huko.Wadigo wanapatikana wapi? Nianzie wapi?
Muongozo ukoje!?bi mdogo anahitajika!Ikifika zamu ya wanaotaka kuoa Zanzibar mtaniambia niwape muongozo
Vipi bado upo nije?Njoo Zanzibar mm nipo[emoji122][emoji119]
Nipe namba yake sasaYes, ila usimwogope ni mtaalam ila ndio mzee wa kijiji na anajua kila mtu na anaweza kukupa wanadada wakorogwe.kijijini wazuri wenye heshima na wakakupenda kwa moyo ni mtu mzima sana tena haitaji pesa nyingi
Siwapi katafuteni wenyeweNipe namba yake sasa
Hadi mimi unaninunia kweli mamiloo?Siwapi katafuteni wenyewe
YEs kila mtu afe kivyakeHadi mimi unaninunia kweli mamiloo?
Usiseme hivyo mi nakupendaYEs kila mtu afe kivyake
Mie sikupendiUsiseme hivyo mi nakupenda
Mie namjua mtu kiukweli tanga ila sasa nikiwa na shida watu hunikimbia nikiwa sina shida wanashida so nasaidia nachwa solemba .Kwakuwa unalilia Tanga hasa basi
NENDA KWAMSISI, HANDENI, TANGA
UTAPATA