Naenda Tanga kuoa

Naenda Tanga kuoa

Hahah mwamba kajipa likizo ya wiki kwenda Tanga kuposa na ndoa juu arudi na mke Dar maisha yaende!!!

Kwa ndoa za hivi yatakayomkuta akiyasimulia kwa watu nani atatamani kuishi kinyumba na mwanamke sembuse kufunga nae ndoa?
Hata hayasemeki kwakweli..
 
Hahah mwamba kajipa likizo ya wiki kwenda Tanga kuposa na ndoa juu arudi na mke Dar maisha yaende!!!

Kwa ndoa za hivi yatakayomkuta akiyasimulia kwa watu nani atatamani kuishi kinyumba na mwanamke sembuse kufunga nae ndoa?

Huo ni mtazamo.Kila ndoa inachangamoto zake.
 
Anataka kwa wiki moja apate mke.Hapendi kuwa na matumizi mabaya ya likizo ya wiki moja.Ingawa,hana mwenyeji aendako/hajui aendako.
Si kuna bar nyingi tu huko au? Siku moja inatosha kupata mke na kuoa,sita zilizobaki anakula nae bata, af zikiisha anarudi nae Dar. Biashara kwisha
 
Kuna huyo. Vipi, umo?
 
Attachments

  • images (47).jpeg
    images (47).jpeg
    48.9 KB · Views: 5
Si kuna bar nyingi tu huko au? Siku moja inatosha kupata mke na kuoa,sita zilizobaki anakula nae bata, af zikiisha anarudi nae Dar. Biashara kwisha
Wa bar wengi huwa si wenyeji wa mkoa husika.Utajikuta umemfuata aliyekuwa mkoa uliotoka.
 
Si kuna bar nyingi tu huko au? Siku moja inatosha kupata mke na kuoa,sita zilizobaki anakula nae bata, af zikiisha anarudi nae Dar. Biashara kwisha

Mimi sinywi pombe na mwanamke anayekunywa pombe sipatani nao,so kwangu hiyo sio option
 
Salalee wale watoto wako devoted kwenye mapenzi.

Mbaya zaidi naskia siku hizi wanatembea na kondom za kuvalisha vidole, wakati wewe unam pump yeye naye anakuingizia kidole...ufirauni ulioje arghhh
Aiseeee?Kwa hiyo inakuwa "igugu lethu"?
 
Back
Top Bottom