Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Kwanini?Mie sikupendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?Mie sikupendi
Hunichukulii seriousKwanini?
Siyo kweliHunichukulii serious
True sasa mtu kama anashida wala huulizi saivi mnahitaji jambo mie mzuriSiyo kweli
Tatizo umefunga pm ntakuulizaje sasa si ntakua nakuchoreshaTrue sasa mtu kama anashida wala huulizi saivi mnahitaji jambo mie mzuri
MmhTatizo umefunga pm ntakuulizaje sasa si ntakua nakuchoresha
Nini
Ulienda hiyo Tanga?Wakuu sijapata mpaka sasa,nipeni muongozo
Habari wadau, i hope wote mpo poa sana.
Mimi ni kijana wa miaka 28,mkazi wa Dar es Salaam.
Nimekuja humu kuonba muongozo wa kwenda kuoa Tanga,nimeamua kwenda huko kutokana na nimechoka kuishi mwenyewe na mademu huku wa dar naona wazinguaji na mimi binafsi sipendi kusumbuka na kubembeleza sana.
Huko tanga sina mwenyeji wala sijui kwa kuanzia.Nina liziko ya wiki kufanikisha
UlifanikiwaHayo sio part ya hii discussion.Mimi hapa nataka mwongozo wa kwenda Tanga kwamba nianzie wapi ili jambo langu litimie.
Wasambaa vpMkuu nendaaa pale muheza kwa Wabondei. Mabinti wa na heshima na mapenzi wanayajua. Utanishukuru badaye!
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Sifa za wanawake wa kidigo tafadhaliKachukue mdigo utanishukuru
Kwanini mzeeUna moyo mgumu? wanawake wa Tanga c mchezo.
Kumbuka waislamuMi mwenyewe nna mpango wa kwenda huko huko
Sio ukweli waislamu wapo na wakristo wapo..... Mfano lushoto mjini wakristo wengi tu Ila ukisogea mlalo wengi ni waislam..... Kologwe ,msambiasi, kwa masimba, bungu, ambangulu na kwingineko wakristo wengi tu wakutoshaKumbuka waislamu