..Mazee k-y tena? unataka kuanza kuvumbua migodi mipya nini huko? Najua huko hako karufundi sio sana nina uhakika katika 5 utakazokutana nazo 4 bado kabisaaaa....unatereza tu kama uko kitonga vile...Safi sana.Hahahaha mkuu tayari nimesha nunua box zima nimeweka kweny bag bila kusahau K-Y
vizuri sana,Hahahaha mkuu tayari nimesha nunua box zima nimeweka kweny bag bila kusahau K-Y
hahahah!anavyoenda ATATEREZA SANA MILIMA YA IHOFI!pale ukipanda budget/new-force ndo unaona raha ya safari!lol na mimi nafikiria kusafiri sasa..Mazee k-y tena? unataka kuanza kuvumbua migodi mipya nini huko? Najua huko hako karufundi sio sana nina uhakika katika 5 utakazokutana nazo 4 bado kabisaaaa....unatereza tu kama uko kitonga vile...Safi sana.
...Pima na uzito kabisa mkuu uone kilo zilizopo sasa then ukirudi unacheki tena hiyo itakupa feedback nzuri ya kujua jinsi ulivyoaga mwaka 2009 na kukaribisha 2010!!Hahahaha umeniacha hoi hujui siku hizi Misumry ile mipya ile balaaaaa Mura
zile sumri CHA MTOTO!mlimani kama zimesimama jinsi zinavyodorora.hata ali-saidi ameleta yutong kama za sumri,HAMNA KITU ZILE!kama unataka respect kamata NEW-FORCE ya tunduma.Hahahaha umeniacha hoi hujui siku hizi Misumry ile mipya ile balaaaaa Mura
Bora HEKIMAzile sumri CHA MTOTO!mlimani kama zimesimama jinsi zinavyodorora.hata ali-saidi ameleta yutong kama za sumri,HAMNA KITU ZILE!kama unataka respect kamata NEW-FORCE ya tunduma.
...Ulishawahi kukutana na Kiswele??Bora HEKIMA
Nenda Matema Beach. lakini si umesikia jinsi matetemeko yanavyotikisa huko kwetu siku hizi!Wakuu X.mass inakaribia nimeamua kwenda kujipumnzisha nyanda za juu kusini. Hivi nimeeneo yapi naweza nikapiga kambi na nikaenjoy kuanzia Moro kwenda nyanda za juu kusini.
nilikupigia simu nikupe deal ukashindwa kupokea,naona huna bahati na hela zangulikizo njema Fidel. Take care!
Wakuu X.mass inakaribia nimeamua kwenda kujipumnzisha nyanda za juu kusini. Hivi nimeeneo yapi naweza nikapiga kambi na nikaenjoy kuanzia Moro kwenda nyanda za juu kusini.
Ileje ushawai fika mkuu? Kuna Swila Guest House!! Merry Xmass!Wakuu X.mass inakaribia nimeamua kwenda kujipumnzisha nyanda za juu kusini. Hivi nimeeneo yapi naweza nikapiga kambi na nikaenjoy kuanzia Moro kwenda nyanda za juu kusini.
nguli vipi we hauendi kutambika?Safari njema mkulu. kweli unapapenda hii ni safari yako ya 3 mwaka huu.
nguli vipi we hauendi kutambika?
hahahahaha!unabishana na ukweli sio?!haya bwana.mwenzio keshaondokaMimi sitambiki na hata huo msamiati hauko kichwani mwangu ila nasheherekea. Nitaondoka siku yeyote kuanzia kesho na ndege ya bro kama imejaa basi yale mabasi ya kaka yake Xspin yanaitwa Kwa Yesu kila goti litapigwa