Naenda Vekesheni

Naenda Vekesheni

Hahahaha mkuu tayari nimesha nunua box zima nimeweka kweny bag bila kusahau K-Y
..Mazee k-y tena? unataka kuanza kuvumbua migodi mipya nini huko? Najua huko hako karufundi sio sana nina uhakika katika 5 utakazokutana nazo 4 bado kabisaaaa....unatereza tu kama uko kitonga vile...Safi sana.
 
Hahahaha mkuu tayari nimesha nunua box zima nimeweka kweny bag bila kusahau K-Y
vizuri sana,
naona huko nyumbani KUTAWAKA MOTO!wadau mnaenda kutambika sio?!maana hata x-pin nadhani yupo barabarani anaelekea home
 
..Mazee k-y tena? unataka kuanza kuvumbua migodi mipya nini huko?.

Huoni ndo raha yenyewe hiyo mzee unazindua mwenyewe alafu raha zaidi kitu ule na nduguyo nakukaribusha mzee.
 
wadau mnaenda kutambika sio?!maana hata x-pin nadhani yupo barabarani anaelekea home

Unajua mara moja moja lazima angalau utoke mjini kwenda kureflesh huko
 
..Mazee k-y tena? unataka kuanza kuvumbua migodi mipya nini huko? Najua huko hako karufundi sio sana nina uhakika katika 5 utakazokutana nazo 4 bado kabisaaaa....unatereza tu kama uko kitonga vile...Safi sana.
hahahah!anavyoenda ATATEREZA SANA MILIMA YA IHOFI!pale ukipanda budget/new-force ndo unaona raha ya safari!lol na mimi nafikiria kusafiri sasa
 
hahahah!anavyoenda ATATEREZA SANA MILIMA YA IHOFI!pale ukipanda budget/new-force ndo unaona raha ya safari!lol na mimi nafikiria kusafiri sasa

Hahahaha umeniacha hoi hujui siku hizi Misumry ile mipya ile balaaaaa Mura
 
Hahahaha umeniacha hoi hujui siku hizi Misumry ile mipya ile balaaaaa Mura
...Pima na uzito kabisa mkuu uone kilo zilizopo sasa then ukirudi unacheki tena hiyo itakupa feedback nzuri ya kujua jinsi ulivyoaga mwaka 2009 na kukaribisha 2010!!
 
Hahahaha umeniacha hoi hujui siku hizi Misumry ile mipya ile balaaaaa Mura
zile sumri CHA MTOTO!mlimani kama zimesimama jinsi zinavyodorora.hata ali-saidi ameleta yutong kama za sumri,HAMNA KITU ZILE!kama unataka respect kamata NEW-FORCE ya tunduma.
 
Wakuu X.mass inakaribia nimeamua kwenda kujipumnzisha nyanda za juu kusini. Hivi nimeeneo yapi naweza nikapiga kambi na nikaenjoy kuanzia Moro kwenda nyanda za juu kusini.
Nenda Matema Beach. lakini si umesikia jinsi matetemeko yanavyotikisa huko kwetu siku hizi!
 
Wakuu X.mass inakaribia nimeamua kwenda kujipumnzisha nyanda za juu kusini. Hivi nimeeneo yapi naweza nikapiga kambi na nikaenjoy kuanzia Moro kwenda nyanda za juu kusini.

Ingawa hujasema exactly ni nyanda za juu kusini gani unazoelekea, (Ruvuma, Mbeya, Iringa au Rukwa) ila nitakusaidia kukuelekeza mahali pazuri pa kupumzika na kusherekea x-mas ambapo nina uzoefu napo (nimefika na kujionea).

1. Njombe kuna mandhari nzuri sana, hasa ukijipumzisha jirani na mashamba ya chai na uka enjoy greenish ya chai na hali ya hewa ya ubaridi kwa mbali. Hoteli za Njombe ni nzuri sana na zina maji moto.

2. Makambako na penyewe kuna mandhari safi sana, ingawa kuna baridi ya kutosha. Napo pana hoteli nzuri sana na zina vyakula vizuri pia. Hapa utapata nafasi ya kuona vizuri sana kingo za bonde la ufa na jinsi linavyopendeza.

3. Kwa Mbeya unaweza kwenda kutembelea Matema Beach, ukala samaki wazuri na kuogelea kwa raha zako. Wali wa Kyela ni mzuri kuliko maelezo, ni bora ukafika. Utapata nafasi ya kutembelea vijiji vya jirani vya nchi ya Malawi kutoka pale Kasumulu.

4. Unaweza kwenda Songwe kuangalia majimoto kutoka ardhini (hotsprings) pamoja na iamba ya ajabu. lakini pia unaweza kwenda kutalii na kuona kimondo kilichopo pale Ndolezi Mbozi, kinapendeza sana. Lakini pia kuangalia wanyama mbugani pale Ihefu Mbarali.

Hope mpaka hapo umepata picha ya nyanda za juu kusini kunavyopendeza, nilikuwa huko Julai na natamani kwenda tena.
Kwa details kuhusu hoteli nzuri za gharama za wastani unaweza kuni-PM.

Wakuu X.mass inakaribia nimeamua kwenda kujipumnzisha nyanda za juu kusini. Hivi nimeeneo yapi naweza nikapiga kambi na nikaenjoy kuanzia Moro kwenda nyanda za juu kusini.
Ileje ushawai fika mkuu? Kuna Swila Guest House!! Merry Xmass!
 
Safari njema mkulu. kweli unapapenda hii ni safari yako ya 3 mwaka huu.
 
nguli vipi we hauendi kutambika?

Mimi sitambiki na hata huo msamiati hauko kichwani mwangu ila nasheherekea. Nitaondoka siku yeyote kuanzia kesho na ndege ya bro kama imejaa basi yale mabasi ya kaka yake Xspin yanaitwa Kwa Yesu kila goti litapigwa
 
hahahahaha!unabishana na ukweli sio?!haya bwana.mwenzio keshaondoka
 
Back
Top Bottom