Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukitoka hapa kaweke kambi MAKAMBAKO!pale kuna hoteli kubwa sana inaitwa DURBAN!pale wanachoma kuku vizuri sana.unaondoka lini mkadange?(hatutaarifiani shekhe?)Wakuu X.mass inakaribia nimeamua kwenda kujipumnzisha nyanda za juu kusini. Hivi nimeeneo yapi naweza nikapiga kambi na nikaenjoy kuanzia Moro kwenda nyanda za juu kusini.
Zenji nimekuchoka kila mara Zenji na umeme hakuna joto kali na mvua zinanyesha sana huko sitaki
Na libaridi la makambako sijui kama utainjoiukitoka hapa kaweke kambi MAKAMBAKO!pale kuna hoteli kubwa sana inaitwa DURBAN!pale wanachoma kuku vizuri sana.unaondoka lini mkadange?(hatutaarifiani shekhe?)
I will be missing you sina jinsi inanilazimu naombeni walio huko nyanda za juu kusini tuwasiliane get tugedha popole pale jamani
Thubutu na Karume na Hamad wamepatana huo umeme mtasubili kuna dili la kuuza majenereta vp nikupe yakhe?
ukitoka hapa kaweke kambi MAKAMBAKO!pale kuna hoteli kubwa sana inaitwa DURBAN!pale wanachoma kuku vizuri sana.unaondoka lini mkadange?(hatutaarifiani shekhe?)
Na libaridi la makambako sijui kama utainjoi
we zd pale ndo penyewe,huu ni msimu wa ulanzi baridi utaisikia wapi?Na libaridi la makambako sijui kama utainjoi
hahaha!durban FUNGA KAZI!haina mpinzani.kama ni weekend night clubs pale utaenda mid-town au makambako tours.Swadakta hii hotel inaizidi ile ya Link hotel?
Jamani mkiona nimepotea gafla jamvini maanake safari imekwisha wiva.
...Usishau kutumia Oko mkuu si unajua hizi za mwisho wa mwaka ndio huleta vilio tukianza mwaka mpya!!!Pale nikifika itabidi nitafute kifaa au nipigie kifaa changu cha Mbinga tukutane pale ndo nitafaudu.
hehehehe!oko ya nini bana.NYAMA KWA MEAT......!labda umwambie atembee na KY kama lita tano hivi....Usishau kutumia Oko mkuu si unajua hizi za mwisho wa mwaka ndio huleta vilio tukianza mwaka mpya!!!