Naendelea kufurahia JF

Naendelea kufurahia JF

Siku ya pili tu umeshaanza kuisifia. Ngoja wadau waanze kukuporomoshea mbovumbovu na ukijubu tu unakula ban.
unanikumbusha shuleni tulikuwa tunaimba MTOTO KALILIA SHULE, MUACHE ATAIONA MWENYEWE
 
Nitajitahd nistukane

Wa kishua
 
sawa umeeleweka

mara zingine utupiamo na kapicha
 
Back
Top Bottom