Naendelea kuwaelimisha mashabiki wa Simba

Pot 4
Ismaily-Egypt
Loba Stars-Nigeria
FC Platium-Zimbabwe
JS Soura-Algeria
Unapoongea na wajinga wenzako usifikiri watu wote wako kwenye level yako.
Mtambo wewe.
Pukachaka.
Umemtoa Simba ukamweka Platinum kujifariji! Watanzania ujinga hautawaisha.
 
Mbumbumbu lazima wawe moto
 
Nyie kwa msaada wa MO
Hakuna mtu aliyelipiwa hapo.Wote waliingia kwa pesa zao.
Vyura walilipiwa na Manji.Ndio maana mnampigia magoti mpaka leo.Siku hiyo hata mageti mlivunja.
Pukachaka.
 
nafikiri huu mfumo wa kampuni ni bora sana hakuna ubabaishaji uliozoeleka wa viongozi njaa. Hii Habari ya viongozi njaa inaigarimu Yanga zaidi kuliko simba.hongera simba chini ya dewji wamejipanga wamefika makundi. Timu Kama Yanga inaweza kuwa tajiri ikaacha kuyumba kifedha ikitekeleza mfumo wa kampuni ikumbukwe Yanga ndiyo muasisi wa klabu ya mpira kujiendesha ki kampuni Tanzania. 1998 Yanga ilifika 8 bora Africa viongozi wabovu wakavurunda na kuhujumu timu ikashindwa kupata rekodi nzuri kwa maslahi yao. Ufike mwisho wa hawa wababaishaji Kupewa uongozi , wanajali ela kuiba hawana program wala ubunifu wa kuongoza vilabu. Yanga na simba zikivurunda hata timu ya taifa haifiki mbali. Nilikuwa naangalia historia ya caf club championship Africa Yanga na simba zimeanza zamani kushiriki ilitakiwa angalau tuchukue kombe au hata kufika Fainali ingawa simba 1974 iliishia nusu fainali .Villa Uganda walishafika fainali, afc leopard na nkana fc vilevile walishafika fainali . Gor mahia walichukua kombe la washindi africa. Tp mazembe imechukua caf championship Mara 5 vita fc mara 1 au 2 zote za DRC
 
Mi nachokumbuka mwaka 1998 ni zile bao 6 za Raja Casablanca dhidi ya 0 za yanga...mtoa mada tukumbushe na matokeo mengine sio kutukumbusha yasio na maana.
 
Kudadadeki! Huu ni mwaka wa Simba kutafuna mabilioni ya CAF!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…