Nafaka hizi zinahitajika haraka

Nafaka hizi zinahitajika haraka

The Certified

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
910
Reaction score
774
Habari,

Nahitaji Nafaka Hizi Hapa Chini.
Ulezi Msafi (Grade 1) Tone 20
Ufuta Msafi (Grade 1) Tone 20

Weka Namba Za Simu Nikupigie Kama Una Nafaka Husika Na Mmiliki Mwenyewe
 
Habari,

Nahitaji Nafaka Hizi Hapa Chini.
Ulezi Msafi (Grade 1) Tone 20
Ufuta Msafi (Grade 1) Tone 20

Weka Namba Za Simu Nikupigie Kama Una Nafaka Husika Na Mmiliki Mwenyewe
Kama upo Daslam nenda kariakoo sokoni, uliza utapata watu wenye stocks au utaungwa na wakulima. Wakulima wa ukweli hawapo Jamii forums, wako masokoni na mashambani!
 
Back
Top Bottom