Nafaka kamili ni nini?

Nafaka kamili ni nini?

Joined
Mar 14, 2014
Posts
90
Reaction score
6
WHY TRE.EN.EN?!
*******************
*Binadamu anahitaji kula kiwango kikubwa cha nafaka kamili, mazoez, matunda na mboga mboga, protein kidogo na sukari na mafuta viwe finyu kabisa lakini hali halisi wengi ikiwepo mimi na wewe ukiangalia sahani zetu..
tumegeuza sukari na mafuta ndo nyingi, protein ya red meat ambayo ni mbaya nzuri ni ile ya mimea km maharage km ni nyama bas ule samaki au kuku wa kienyeji, matunda na mboga mboga twala kidogo
mbaya zaidi nafaka kamili ndo hatupati kabisa kwa kuwa wengi tunakula vyakula vilivyo kobolewa km sembe.. swali wangap wanakula dona na brown rice? almost none. na wanaokula dona ni ya kiwandani ambako kuna dawa inawekwa ili isiharibike so sumu bado tunazila.

*Nafaka kamili ni nini? na ina faida gani?!
-nafaka kamili ni ile nafaka ambayo haijakobolewa mfano ukichukua punje ya maindi ktkt kuna kiini, ambacho tukikoboa tunakitoa, hivyo basi tunakosa mafuta muhim ya nafaka na lishe iloyopo ktk kile kiini.
-Wengi wetu hula sembe badala ya unga wa dona, white rice badala ya brown rice na hata wengine hudhani brown bread ni kwa watu wa kisukari kumbe ndo unaotufaa sote badala ya white bread tuliozoea.
Mafuta ya nafaka kamili (lipid n sterols) hulainisha chembe hai(cells) zetu hivyo kuruhusu virutubisho kuingia vzr na sumu na uchafu kutoka kwa urahisi.
-Ukiyakosa ukuta wako wa cell unakuwa mgumu na kushindwa kuruhusu virutubisho na kutoa uchafu. kumbuka una cell trillion 73 kwa kuwa kila kiungo kina cell hivyo ni tatizo la mwili mzima
-kwasababu ni ngumu kupata nafaka kamili kwenye chakula chetu kwa kuwa huwezi kujitungia dunia ya peke yako
-hivyo nina suluhisho lilipendekezwa na bodi ya wanasayansi inaitwa TRE.EN.EN.

*Dalili za ukosefu wa nafaka kamili:-
*******************
-Uchovu sugu
kung'ang'ania kitanda asubuh wakati kushakucha
-kutopata choo vizuri mfano siku 2 au wengin ht wiki hajapata choo
-kusinzia ovyo mfano darasa baada ya lunch, kwenye daladala
-hormon kutobalance esp wadada
mizunguko ya hedhi kutoeleweka na maumivu makali ya tumbo wakat wa hedhi
-kukosa nguvu
-malaria za mara kwa mara coz ht dawa unazokunywa haziingii kwenye cell na sumu hazitoki

WHAT IS TRE.EN.EN?
*******************
*TRE.EN.EN
-huongeza nguvu mwilini
-hukufanya kuwa mchangamfu siku nzima
-husaidia kutoa sumu mwilini
-husaidia kubalance hormone
kubalance mizunguko ya wadada na maumivu ya tumbo wkt wa hedhi
-husaidia kupata choo laini
-husaidia mzunguko wa damu mwilini na afya ya moyo
-huboresha mbegu za kiume(sperms) na kike
-husaidia kwa wale wenye malaria sugu na za mara kwa mara kupotea
-husaidia mifumo yote ya mwili kufanya kazi vizuri
- kusaidia kuwa na ngozi laini na nzuri

*TRE.EN.EN
-ni kirutubisho kilichotengenezwa na mafuta ya nafaka kamili ya soya,ngano na mchele.
kipo katika mfumo wa capsule... sio km dawa ya hospital hiki ni chakula, ni lishe kamili itakayo kupatia nafaka kamili.
iwapo utakula capsule 3 kila siku kwa siku 5 utaanza kuona mabadiliko mwilini.

*Tunauza tre.en.en caps 60 ndogo 30000/- na caps 120 kubwa 50000/-.

N.B lazima kila mtu awe nae nyumbani kwake.


ALL this from Dr Kibo
MD MUHIMBILI
for more info
0766789288
 
Back
Top Bottom