Nafanana na Kim Kardashian

Nafanana na Kim Kardashian

Ha ha ha,seeing is believing,bt not in jf...mana humu ukute yupo mzee,mara kaka,mara bf,sasa unatupia mapicha ya shepu c washakucrame ..ts risky business
 
Ha ha ha,seeing is believing,bt not in jf...mana humu ukute yupo mzee,mara kaka,mara bf,sasa unatupia mapicha ya shepu c washakucrame ..ts risky business

basi hizo picha zako tutumie kwa email kama itawezekana
 
Kim K,has always been my favourite fashionista of all times,kw wale mnaomjua na kumfatilia mikato yake internet na E! Kwny Keeping up with th kardashians nk. kiukwel anajua kupendezaa,kuanzia dresses,pencil skirts,long sleeved shirts and blouses,jeans na bikini js to mention few..sasa cku moja hom si nikaamua kujipima hips to waist ratio ikawa 0.69,waist 26-hips 39 cm,badae napitia pitia google si nakuta vipimo kama vya kim,nilifurahijeee,no wonder nikimgeza kim i always look fabulous,...dadaa jipime na wew ur curves ujue unafanana na celeb gan ikusaidie kwenye choice ya viwalo vinavomtoa ili upendeze zaidiii na kuwa classic....

Nipm nikupe zawadi
 
Back
Top Bottom