Nafanikishaje kupata travel insurance certificate, flight reservation, hotel reservation?

Chief Kibonde

Member
Joined
Aug 6, 2019
Posts
25
Reaction score
13
Hello thinkers

Salaam wakuu!

Nilikiwa naomba mtu mwenye ushauri au ujuzi wa kupata

TRAVEL INSURANCE CERTIFICATE, FLIGHT RESERVATION, HOTEL RESERVATION.

Hizi ni uambatanisho wakupata viza/Visa ya kusafiria kwa mda.

Kama kuna mtu mwenye experience please tujuzane hata kama mtu ataona noma hapa basi hata PM si mbaya⏰⏰
 
Mbona hakuna ugumu mkuu.Wasiliana na kampuni ya Bima ukate Travel Insurance.
Fanya booking ya ndege ya unakokwenda na ulipie kupata flight reservation na mwisho huko unakokwenda leta reservation ya hoteli unayofikia.
 
Ohhh sawa mkuu asante sana mkuu maana nimeuliza hivyo coz nilienda ubalozin wakaniambia ni add hivyo vitu so hapa inatakiwa niwasiliane na fly emirate na kule niangalie ni book then wanitumie hiyo doc sio mkuu?
 
Unaweza kufanya travel reservation mwenyewe online kwenye website ya airline. Kupata reservation siyo lazima kulipia ticket kabisa. Some airlines wanaweza ku-reserve booking yako mpaka masaa 72 bila kulipia upate ticket. Hivyo unaweza ingia website ya Emirates, ukafanya reservation mwenyewe kwa tarehe unayopanga safari halafu mwishoni ukachangua reserve booking kabla ya kulipia. Utatumiwa itinerary ya safari yako na gharama ya ticket kwa email. Unaweza print hiyo na kuiambatanisha kwenye docs za kupeleka ubalozini. Same for the hotel reservation. Ingia kwenye website ya hotel unayoitaka, fanya booking, na chagua payment on arrival. Utatumiwa hotel booking yako kwa email, utaiprint na kuambatanisha. All the best
 
Hello thinkers

Salaam wakuu!

Nilikiwa naomba mtu mwenye ushauri au ujuzi wa kupata

TRAVEL INSURANCE CERTIFICATE, FLIGHT RESERVATION, HOTEL RESERVATION.

Hizi ni uambatanisho wakupata viza/Visa ya kusafiria kwa mda.

Kama kuna mtu mwenye experience please tujuzane hata kama mtu ataona noma hapa basi hata PM si mbaya⏰⏰
Travel insurance ukienda kwa travel agents, wanakuwa wanafanya hiyo huduma pia. Kwa mikoa iliyochangamka travel agents wako wengi tu ni wewe kuchagua.
 
Unaweza kufanya travel reservation mwenyewe online kwenye website ya airline. Kupata reservation siyo lazima kulipia ticket kabisa. Some airlines wanaweza ku-reserve booking yako mpaka masaa 72 bila kulipia upate ticket. Hivyo unaweza ingia website ya Emirates, ukafanya reservation mwenyewe kwa tarehe unayopanga safari halafu mwishoni ukachangua reserve booking kabla ya kulipia. Utatumiwa itinerary ya safari yako na gharama ya ticket kwa email. Unaweza print hiyo na kuiambatanisha kwenye docs za kupeleka ubalozini. Same for the hotel reservation. Ingia kwenye website ya hotel unayoitaka, fanya booking, na chagua payment on arrival. Utatumiwa hotel booking yako kwa email, utaiprint na kuambatanisha. All the best
Asante sana kaka kiukweli sikuwa na experience hii naendelea kujifunza na naona kabisa naenda kufaniksha safari yangu
 
Mbona hakuna ugumu mkuu.Wasiliana na kampuni ya Bima ukate Travel Insurance.
Fanya booking ya ndege ya unakokwenda na ulipie kupata flight reservation na mwisho huko unakokwenda leta reservation ya hoteli unayofikia.
🤝🙏
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom