Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Lakini ndio ukweli hatakama unauma.Kusema hiv sio vizuri
Ndio yale yake ya kuacha kujibu hoja na kumparamia binafsi , sasa kwani asipo zaa wewe unapungukiwa kitu ganiLakini ndio ukweli hatakama unauma.
Kusema hiv sio vizuri
Kenge kabisa unaiza mboga.mboga unajitia mjanja watu wanachota madiniNaona machawa wanaendelea kukichufua na kumkingia kifua Rais Samia
Lakini nikiitizama hii video ya hawa wafanyabiashara naona walilamba asali kwanza ndio wakapata nguvu ya kuongea yote
Wakati wa vita kila aina ya silaha hutumika. Lengo ni ushindi haijalishi ni panga au nyengo/mundu n.k imetumika.Ndio yale yake ya kuacha kujibu hoja na kumparamia binafsi , sasa kwani asipo zaa wewe unapungukiwa kitu gani