Nafanya biashara sifanikiwi, nini siri yake?

Joined
Nov 11, 2015
Posts
43
Reaction score
1
Nimeanza biashara pembeni ya mji kwa mwaka mmoja bila mafanikio. Nikahamia katikati ya mji mwezi wa sita sasa bado napata wateja wachache najiuliza au hii biashara ya vifaa vya umeme nayoifanya hailipi. Naombeni ushauri.
 
Upepo umechange Sana safari hii,
 
Pole mkuu kwa sasa upepo hausomeki kabisa hali si nzur kila kona cha msingi ni kukomaa Tu.
 
Back
Top Bottom