Nafanya biashara ya Miamala. Naombeni ushauri wenu

Mkuu mimi niko na uzoef kwa hii biznes ingawa sijawah ajir mtu ila nishawah kuajiriwa before kujiajir na ni the same biznes but diferent location hii biashara inataka kwanza ulinzi wa Mungu kwa iman yang ila kama unaamini kwenye kuroga bas roga vya kutosha usizembee kwenye urogaj wako na kama unasali bas sali sana hilo ni mosi sasa pili hii ni biashara ambayo haitaki urafiki wala ujamaa hakikisha unaziba mianya ya uvujaji wa pesa yani hasara hakikisha kila jioni unafunga hesabu na kijana ambae umekanidh jukumu la kusimamia mihamala kama hapo kwenye stationary yako una vijana zaid ya mmoja bas hiyo sehemu ya miamala mkabidhi kijana mmoja aliyekuwa makini na huyo ndo utakuwa unafunga nae hesabu au hata siku haupo umesafir bas hakikisha ukirudi utakutana na hesabu zako alizofunga kila siku yan andaa kidaftar maalum cha kufungia hesabu kama umemkabidhi laki tano kama mtaji bas hakikisha kila siku mnafunga hesab inasoma laki tano pale asikwambie sijui buku nimekopesha au elf 5 nimemuazima mtu pesa yoyote isipoonekana mpk kufikia mwisho wa mwez mnapofunga hesabu hakikisha unampanish kwa kosa hilo hii mbinu alikuw anaitumia boss wang wa zaman nikipiga loss tu najua tayar nishapunguza mshahara wang na kweli akija kufunga hesabu mwisho wa mwez namuonesha commision za mitandao zilizolipwa tunazinote pemben kipind hicho kulikuw hakuna mambo ya lipa namba kisha tunapiga hesabu ya mtaji akiona mtaj una hasara anakata hasara yake kinachobak ndo chang naendelea na biashara nakumbuka nilikatwa elf kumi tu na ilikuw ndo mwez wang wa kwanza kazini bas tang siku hiyo nikawa na disciplin ya pesa akija akikuta mtaj umepungua bas ujue nilikopa lkn sio hasara na ninailipa tunafunga hesabu ya mwez unaofata kama alinikabidhi lak tano tunajumlisha na ile commision kama ni laki bas inakuwa lak sita kazi inaendele hiyo nidhamu imenijenga leo hii nipo na ofis yang kila siku nafunga hesabu na nikikuta upunguf hata wa buku tu najilipisha yani hiyo ni lazma niilipe hivyo biashara hiyo ya miamala inahitaj nidhamu na sio ujamaa hata akiwa ni mwanao wewe mkate na ukiona hasara za mfululizo kama hizo muweke pembeni mpe kijana mwingine kitengo hicho kitengo kisiguswe na mtu tofaut na huyo,jambo la tatu ni njia ambazo kijana anapaswa kuzijua ili kupunguza hasara yani njia ambazo huleta hasara kwa haraka na uwepesi
1:Chuma Ulete
Uchaw upo wala tusibishe ndomana hata biblia ikasema bita yetu si juu ya damu na nyama inamaana chuma ulete inapokuja kwenye biashara yako huwez kuiona kwa macho inakutak na wewe uwe vizur ndomana nilipoanza nikasema hii biashara kama ni kuroga karoge sana na kama ni kuomba omba sana chuma ulete huliza watu kwenye biashar usiache biashara yako kizembe.
2😛esa feki.
Hizi pesa fek zikiletwa kwenye biashara yako mara nying hazijagi zenyew kama kwenye laki moja note fake utakuta ni elf 40-50 sasa kwa mtu asiyejua kwa haraka unapigwa eneo hilo lkn pesa fek hutegemea na eneo kuna baadhi ya mawakala wapo kwenye high risk ya kupewa pesa feki mfn mzuri ni maeneo yaliyochangamka zaidi na watu wakijua unakuwaga na folen ya wateja anajua muda wa kuzikagua hauna hivyo hiyo ni nafas yao pekee pia hivyo kagua eneo ulilopo lina risk ya kias gani kijana wako kupigwa na utapeli wa hivi kama vipi mtafutie mashine ya kuhesabu pesa ili apitishe noti kwenye mashine kabla ya kufanya muamala.
3;Mwambie kijana asitume pesa kabla hajakabidhiwa pesa na kuzihesabu hasa pesa nyingi.
4:usifanye miamala mikubwa hasa mida ya jioni na hasa miamala ya kuweka kama ni kutoa sio mbaya sabab atakuw cashless.
NB. Kuna mdau kakupa ushauri wa lipa namba hii usiache sababu inalipa sana wala nisikufiche mimi mwenyew ndo inanipa pesa ya kutosha kabla ya kuwa na lipa namba nilikuwa napata miamala ya kutuma mingi kuliko kutoa sabab wenzang wote waliokuwa wamenizunguka walikuwa na lipa namba sasa nikatafuta lipa namba nikaweka makato ya kawaida mtu akitoa kuanzia elf ishirin mpk laki nakula buku tu wakat wenzang wanakata buku jero mimi nikafanya chini ya elf 20 nakula jero kipindi wenzang wanakula buku hii ikanifanya kujitangaza na kufanya mapinduz na nikaweza kuingia kwenye mainstream sasa hivi nafikia hataua lipa namba tu inaingiza 200k-250k hapo sijachanganya commision zao za mwisho wa mwezi sasa cha kuzingatia ni hiki hii biashara haina usiri wa faida kama umeweka kijana asimamie hiki kitengo bas jua atafahamu kwa mwez anakutengenezea kias gan na udhibit wa faida kwenye lipa namba ndo mgumu sasa angalia kama unaweza ukagawana na kijana 50/50 profit share baada ya kutoa gharama za uendeshaji au utaangalia ww unadhibit vipi.
Nadhani kwa muongozo huo nimekufungua macho kidogo mkuu
 
Huwa sifungi huwa naangalia kamishen ya kila mwezi na kuwaelekeza vijana wanote hiyo ktk kitabu. mfano.
1. September kamishen 20,000/=
2. October 21,000/=
3. Novemba 21,500/=

kisha najumlisha na lile salio langu nililowekeza najua kiasi kinachoongezeka
Duuu kwa hizi kamisheni mbona kama unapoteza muda au hama location aisee
 
Barikiwa sana tena sana
 
biashara ya mpesa ni pasua kichwa saivi funga haraka. serikali imeweka makato mengi sana mawakala wanapata ela ndogo mno ata ukileta lipa namba bado hela ni ndogo. funga hama iyo biashara kabla hujatapeliwa na kuua kabisa mtaji
Atawasumbua hao madogo bure akidhani wanamwibia
 
Huwa sifungi huwa naangalia kamishen ya kila mwezi na kuwaelekeza vijana wanote hiyo ktk kitabu. mfano.
1. September kamishen 20,000/=
2. October 21,000/=
3. Novemba 21,500/=

kisha najumlisha na lile salio langu nililowekeza najua kiasi kinachoongezeka
Mkuu hapa unapoteza mda , running cost za hyo biashara ndo short unayoisemea ww
 
Ni kweli lkn hii ni biashara ndani ya biashara, yaani biashara kuu ni stationery hii miamala nimeongeza tu na nimewekeza mtaji kidogo Sana.
Vipi biashara ya stationery yenyewe inaendaje hasa upande wa faida kwa maana ya mapato ya kila mwezi mkuu
 
Jitahidi ufatilie kwa ukaribu biashara yako.
Ni vijana wachache kama mimi wenye uaminifu na kuhurumia mtaji wa boss, wengine hawajali kitu wanakupofoa watakavyo.
 
Huwa sifungi huwa naangalia kamishen ya kila mwezi na kuwaelekeza vijana wanote hiyo ktk kitabu. mfano.
1. September kamishen 20,000/=
2. October 21,000/=
3. Novemba 21,500/=

kisha najumlisha na lile salio langu nililowekeza najua kiasi kinachoongezeka
Kwa mtindo huu utapoteza nyingi zaidi ya hizo

Biashara ya miamala ni kufunga hesabu jioni na kufungua hesabu asubuhi.

Ikiwezekana jioni wanakukabidhi ulichowakabidhi na asubuhi unawakabidhi kilicho sahihi Kwa maandishi.

Bila hivyo mkuu wewe na hasara itakuwa meli na bahari
 
Hii biashara kama huna mzunguko mkubwa ni hustle for nothing. Wanyonyaji mno mitandao ya simu
 
Back
Top Bottom