karibuni nafanya huduma ya kufua nguo kwa kutumia mashine na kupasi. Bei zangu ni nafuu kuanzia 1500, napatikana mabibo makuburi, ubungo Dar es salaam , maeneo yote ya Dar nafata nguo na kuzirudisha bure kabisa. Karibuni pm kwa maelezo zaidi karbu pm