Wadau nimeajiriwa na kusaini mkataba ila kazi ni ngumu sana nataka kukimbia.sijui mnanishaurije coz kuna wengine wamenishauri nisiache coz mtaani ni pagumu xana
Hacha uone cha moto.Unafikiri kazi kuipata ni rahisi.Hacha ujinga wewe,piga mzigo uku ukitafuta kwingine.
usiache kazi kabla haujapata kazi ndugu yangu,mahospital madawa bei ya ghari mtaani pesa hakuna tunalia njaa kali.......