Nafanya kazi na nimeajiriwa ila ni ngumu balaa nataka hata kuacha japo sijapata ingine

Nafanya kazi na nimeajiriwa ila ni ngumu balaa nataka hata kuacha japo sijapata ingine

Acha Kazi Uone Jinsi Ilivyo Kazi Kupata Kazi Mtaani
Wadau nimeajiriwa na kusaini mkataba ila kazi ni ngumu sana nataka kukimbia.sijui mnanishaurije coz kuna wengine wamenishauri nisiache coz mtaani ni pagumu xana
 
Hacha uone cha moto.Unafikiri kazi kuipata ni rahisi.Hacha ujinga wewe,piga mzigo uku ukitafuta kwingine.
 
Hacha uone cha moto.Unafikiri kazi kuipata ni rahisi.Hacha ujinga wewe,piga mzigo uku ukitafuta kwingine.

Kiswahili kibovu kabisa mpaka kero kusoma; Hacha=Acha; uku= huku. Mpo wengi sana siku hizi humu jf, sijui mlipita shule gani'!!
 
kuacha kazi sikazi lakini kupata kazi ndiyo kazi. ninajamaa yangu kaacha kazi sasa yupo kitaa zaidi ya miezi 2 bado ajapata kazi adisasa, nakasha 2ma appl. zaidi ya 100. kwaiyo piga mzigo huku ukituma appl. sehemu mbalimbali ukipatga sepa ata kuaga usiwaage wajinga ao. wanakutumia kama roboti.
 
Ndo wanamme hawa? Unaancha kazi ukakae home
Kisa kazi ngumu??

Kama mwanangu lazima nimvundika kama embe afu badae nimle

Mie mwenyewe namwaga zege, na sirembi mwandiko
 
coz, xana, ukiona kazi kufanya kazi acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi
 
kazi ni mbaya unapokuwa nayo.
ndugu usiache kazi bila kupata kazi nyingine.
 
Uwe mbunifu na flexible tayari kwa kupokea vitu vipya. Pia uwe mtu anayependa kujifunza. Epuka 'mambo tayari'. Umezoea kukopi na kupesti nini?
 
usiache kazi kabla haujapata kazi ndugu yangu,mahospital madawa bei ya ghari mtaani pesa hakuna tunalia njaa kali.......

vumilia mwanangu kupata kazi ni ngumu ajabu
hata mimi kuna wakati nafikiria niache kazi yangu kwasababu fulani fulani lakini ninajipa moyo bado mika michache kwenye majaliwa ya uhai nita stahafu. Heshimu wakubwa wako na uliza maswali usipoelewa.
Maisha ni magumu sana mtaani. Tena ukiwa na kazi ni rahisi kupata nyingine lakini ukiwa huna kabisa ni ngumu sana kupata
 
Issue sio ugumu issue ni Mshahara mkuu, kama kazi ngumu na malipo hafifu jaribu kukaaa tena chini na bosi wako umpe hali halisi wakuongeze mpunga, Kama kazi hailip kabisa wapata ela ya kula tu na nauli hata me nakushauri acha ukikaa nyumban mwezi kama mzazi utapata tu machungu ya kutafuta shughuli nyingine
 
Back
Top Bottom