Nafanya kazi saa 24 bila kupumzika, nikimshitaki bosi wangu hatanifukuza?

Nafanya kazi saa 24 bila kupumzika, nikimshitaki bosi wangu hatanifukuza?

Dickmadegwa

Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
27
Reaction score
7
Wakuu naombeni ushauri nataka nimshitaki bosi wangu je ataweza kunifukuza kazi?
Pia sheria inataka mtu afanye kazi masaa mangapi?
Maana mkataba wangu natakiwa nifanye kazi saa 24 usiku na mchana na silipwi overtime je ni sawa?
Msaada please
 
Wakuu naombeni ushauri nataka nimshitaki bosi wangu je ataweza kunifukuza kazi?
Pia sheria inataka mtu afanye kazi masaa mangapi?
Maana mkataba wangu natakiwa nifanye kazi saa 24 usiku na mchana na silipwi overtime je ni sawa?
Msaada please
Umesaini huo makataba tayari?,umeshaongea naye kumueleza dukuduku na changamoto?unafanya kazi mass 24 kweli?
 
Pole sana hiyo ni kazi ya kuvuta hewa/ pumzi? Kama ni hiyo sawa.

Naamini hakuna kazi ya kufanya 24hrs wewe peke yako.itaje hiyo ni kazi ya aina gani kwanza usaidiwe vizuri
 
Ndio nimesain brother pia nilishamweleza changamoto za usiku.
Kma ni mtu binafsi we muibie tu usepe zako kama ni kampuni inayoeleweka nenda kwa wakili na mkataba wako ili awaandikie barua kuwajulisha kuwa unahisi haki zako zinavunjwa ukifanya hivyo hata kazi wakikufukuza unaweza kwanda kudai fidia mahakamani tena fidia kubwa sana
 
Kama ilivyoandikwa ktk mkataba Kazi ni manager wa kituo, social worker,teacher na patron kwa usiku.
Nitakuwa responsible usiku na mchana.
 
Kazi kama ilivyoandikwa ktk mkataba...
Manager wa kituo
Teachers
Social worker
Na patron wakati wa usiku...
Pia mkataba umeeleza kuwa natakiwa niwe responsible day and night.
 
Kazi kama ilivyoandikwa ktk mkataba...
Manager wa kituo
Teachers
Social worker
Na patron wakati wa usiku...
Pia mkataba umeeleza kuwa natakiwa niwe responsible day and night.

Soma vizuri mkataba uelewe mkuu aina ya kazi yako ni kama mzazi tu kwa mtoto wake au familia yake. Mzazi anakuwa responsible kwa wanae 24/7 lakini haimaanishi kuwa huyu mzazi hapumziki.

Kama hutajali weka vipengele vilivyokufanya udhani kuwa kazi yako ni ya 24hrs tutakusaidia kabla hujatafuta kesi amabayo pemgine haipo.
 
Upo sahihi kusema hivyo lakini mkataba umeeleza kama nilivyokwambia

Natakiwa niwe responsible 24/7 bila mapumziko , weekend wala holiday
Natakiwa niwe kituoni masaa yote.
 
Cheki na hii
 

Attachments

  • 1527347035580.jpg
    1527347035580.jpg
    175.5 KB · Views: 65
Umetoka kuanzisha mada ya kupekuliwa chumbani kwako na boss wako...

Sasa umekuja na mada ya kufanyishwa kazi masaa 24 bila overtime...

Kuna kitu hakipo sawa...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom