Dickmadegwa
Member
- Aug 26, 2014
- 27
- 7
Umesaini huo makataba tayari?,umeshaongea naye kumueleza dukuduku na changamoto?unafanya kazi mass 24 kweli?Wakuu naombeni ushauri nataka nimshitaki bosi wangu je ataweza kunifukuza kazi?
Pia sheria inataka mtu afanye kazi masaa mangapi?
Maana mkataba wangu natakiwa nifanye kazi saa 24 usiku na mchana na silipwi overtime je ni sawa?
Msaada please
Kma ni mtu binafsi we muibie tu usepe zako kama ni kampuni inayoeleweka nenda kwa wakili na mkataba wako ili awaandikie barua kuwajulisha kuwa unahisi haki zako zinavunjwa ukifanya hivyo hata kazi wakikufukuza unaweza kwanda kudai fidia mahakamani tena fidia kubwa sanaNdio nimesain brother pia nilishamweleza changamoto za usiku.
Kazi kama ilivyoandikwa ktk mkataba...
Manager wa kituo
Teachers
Social worker
Na patron wakati wa usiku...
Pia mkataba umeeleza kuwa natakiwa niwe responsible day and night.
Wanatakiwa wawe na nyumba ya kuishi Manager hapo Centre.Nimekutumia job description
Hapo ongea na boss wako kiustaarabu. Nje ya hapo hata kama mimi nakufukuza baada ya kunishitakiNaishi nje nimepanga ila hapa kazini kuna chumba cha kulala.
Una muda gani kazin hadi sasa? Na kwa hali ya kawaida unawezaje kufanya kazi 24/7 ?Cheki na hii