Nafanya kazi ya kuandika (writing/copywriting), kutafsiri (translation), na editing "Freelancer"

Nafanya kazi ya kuandika (writing/copywriting), kutafsiri (translation), na editing "Freelancer"

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,653
Reaction score
2,792
Ni matumaini yangu kuwa kila anayesoma uzi huu ni mzima wa afya.

Mimi ni kijana, Nimehitimu mwaka jana (2021).

Nina vifaa kama simu (smartphone) na kompyuta mpakato (laptop), vinavyoweza kuniwezesha kufanya kazi tajwa hapo awali yaani, writing/copywriting, translation na editing.

Kwa anayehitaji huduma tajwa hapo juu naomba awasiliane nami kwa kunitumia meseji hapa hapa Jamii forums.

Asante.
 
Mkuu,kama uko serious weka email serious na namba ya simu.Kisha utulie kazi zitakuja
 
Ni matumaini yangu kuwa kila anayesoma uzi huu ni mzima wa afya.

Mimi ni kijana, muhitimu wa chuo kikuu cha Sokoine (SUA). Nimehitimu mwaka jana (2021) na kwa sasa nipo mtaani nikifanya kazi ndogondogo zinazonipatia kiasi kidogo cha fedha za kujikimu kimaisha.

Nina vifaa kama simu (smartphone) na kompyuta mpakato (laptop), vinavyoweza kuniwezesha kufanya kazi tajwa hapo awali yaani, writing/copywriting, translation na editing.

Kwa anayehitaji huduma tajwa hapo juu naomba awasiliane nami kupitia email: yonamichael84@gmail.com au kwa kunitumia meseji au kupiga simu namba 0624609946 . Lakini pia unaweza kunitumia meseji hapa hapa Jamii forums.

Asante.
Mkuu upo pande gani na vp nikiwa naitaji huduma ya kunifundisha editing na mambo ya freelancer
 
Back
Top Bottom