Ni matumaini yangu kuwa kila anayesoma uzi huu ni mzima wa afya.
Mimi ni kijana, muhitimu wa chuo kikuu cha Sokoine (SUA). Nimehitimu mwaka jana (2021) na kwa sasa nipo mtaani nikifanya kazi ndogondogo zinazonipatia kiasi kidogo cha fedha za kujikimu kimaisha.
Nina vifaa kama simu (smartphone) na kompyuta mpakato (laptop), vinavyoweza kuniwezesha kufanya kazi tajwa hapo awali yaani, writing/copywriting, translation na editing.
Kwa anayehitaji huduma tajwa hapo juu naomba awasiliane nami kupitia email:
yonamichael84@gmail.com au kwa kunitumia meseji au kupiga simu namba
0624609946 . Lakini pia unaweza kunitumia meseji hapa hapa Jamii forums.
Asante.