Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elezea faida gani mtu atazipata kwa kuweka hizo ngazi..Habari zenu wakuu, kama unahitaji kujenga ngazi za kisasa
"ngazi za kuelea elea"
nicheki nikufanyie kazi yako.
Hapo nimekabidhi kazi tayari, kilichobaki ni kutoa mbao za hapo chini tu.
Karibuni wakuuView attachment 3082144
0624254690
Mfanyakazi bila kupewa semina elekezi unakuta kahifadhi ndala na matambala katupia huko chiniZitarahisisha kufuga panya
Duu jamaa angeuliza kabla ya kupostMfanyakazi bila kupewa semina elekezi unakuta kahifadhi ndala na matambala katupia huko chini
Mimi Nilidhani zina float kama jina lake linavyosema, kumbe zinaacha uwazi chini.View attachment 3082147
Wakati naandaa kazi
Kwa mazingira yetu ya kibongo huko chini si kutajaa mifugo kama mende, panya, kenge, nk? Pia, kusafisha huko chini unasafishaje? Maana si kutajaa sana vumbi na mauchafu ya kila aina kama majani makavu ya miti, na kadhalika?Habari zenu wakuu, kama unahitaji kujenga ngazi za kisasa
"ngazi za kuelea elea"
nicheki nikufanyie kazi yako.
Hapo nimekabidhi kazi tayari, kilichobaki ni kutoa mbao za hapo chini tu.
Karibuni wakuuView attachment 3082144
0624254690
Ok mkuu nakuelewa! Lakini yote ni kupendezesha nyumba tu.Elezea faida gani mtu atazipata kwa kuweka hizo ngazi..
Elezea kwa nini mtu ahotaji kweka hizo mgazi na io zile zingine.
Unapotangaza biashara jua kaba kuna watu ni wageni kabisa hawajawahi kusikia chochote kuhusu unachokitangaza,hivuo ni busara ukatoa ABC za jambo lako
na nyoka piaZitarahisisha kufuga panya
hivo vitu havijengwi kwetu uswahilini mabonde kuinama hata kufagia kaziiKwa mazingira yetu ya kibongo huko chini si kutajaa mifugo kama mende, panya, kenge, nk? Pia, kusafisha huko chini unasafishaje? Maana si kutajaa sana vumbi na mauchafu ya kila aina kama majani makavu ya miti, na kadhalika?
Unayo picha ambayo ikiwa kila kitu kimekalimika na zimepigwa rangi? Je, inatakiwa kuchukua tahadhari gani au kufanya nini ili mwenye hizi ngazi asipate maudhi na aenjoy hizi ngazi?