Nafanya kazi ya kujenga "ngazi za kuelea elea" floating stairs

Nafanya kazi ya kujenga "ngazi za kuelea elea" floating stairs

VideoCapture_20241004-085722.jpg
 
Hongera Sana Kijana wa kutoka Kigoma Kwa Train, hongera pia Kwa kujipambambania nakumbuka ulipotoka na unakoleleka Mungu ni mwema Sana nachukuwa no Yako.
Hakika kiongozi ni safari ndefu sana tangia kipindi kile mpaka hapa nilipofika.
Ni safari ndefu mithili ya tamthilia.
Karibu sana kiongozi
 
Zina mwonekano mzuri sana, ila hapo wadudu si watapata chimbo.....

Ni nzuri, zinavutia....hongera.
Hapo si rahisi wadudu kukaa mkuu, kwenye huo uwazi hapo zinawekwa taa.
Ni uwazi mdogo sentimita kadhaa tu.
Karibu mkuu
Zina mwonekano mzuri sana, ila hapo wadudu si watapata chimbo.....

Ni nzuri, zinavutia....hongera.
Kuhusu wadudu hapo kuna sentimita 20 hivi, kwahiyo wadudu kukaa hapo siyo rahisi.
Isitoshe pia kwenye huo uwazi zinakaa taa.
Shukrani mkuu
 
Hapo si rahisi wadudu kukaa mkuu, kwenye huo uwazi hapo zinawekwa taa.
Ni uwazi mdogo sentimita kadhaa tu.
Karibu mkuu

Kuhusu wadudu hapo kuna sentimita 20 hivi, kwahiyo wadudu kukaa hapo siyo rahisi.
Isitoshe pia kwenye huo uwazi zinakaa taa.
Shukrani mkuu
Sawa niombee nijenge fundi ntakuita 😂😂😂
 
Hapana boss chini hapo ni pafupi sana kwenda ndani! Hakuna mapango.
Na pia hapo uvunguni zinawekwa taa za urembo.
Kwahiyo zinawaka sana.
Natamani ningeweka zikiwa zimekamilika uzione.
Umetisha

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
kazi nzuri

Hiyo balaa yake ikiwa umefunga taa zake inavutia sana.

Ujenzi wa kisasa
 
Wewe jamaa ni Fundi katika vitu vinavyosumbua ni vipimo vya namna hiyo Big up sana aisee ngoja tuzichange nikuone kwa vitu vizuri mimi sina maswali mengi zaidi ya kuona huo udambwi udambwi tu
 
Wewe jamaa ni Fundi katika vitu vinavyosumbua ni vipimo vya namna hiyo Big up sana aisee ngoja tuzichange nikuone kwa vitu vizuri mimi sina maswali mengi zaidi ya kuona huo udambwi udambwi tu
Karibu sana mkuu nikufanyie kazi yako
 
Back
Top Bottom