Nafanya kazi ya kujenga "ngazi za kuelea elea" floating stairs

Habari zenu wakuu, kama unahitaji kujenga ngazi za kisasa
"ngazi za kuelea elea"

nicheki nikufanyie kazi yako.

Hapo nimekabidhi kazi tayari, kilichobaki ni kutoa mbao za hapo chini tu.
Karibuni wakuuView attachment 3082144

0624254690
Elezea faida gani mtu atazipata kwa kuweka hizo ngazi..

Elezea kwa nini mtu ahotaji kweka hizo mgazi na io zile zingine.


Unapotangaza biashara jua kaba kuna watu ni wageni kabisa hawajawahi kusikia chochote kuhusu unachokitangaza,hivuo ni busara ukatoa ABC za jambo lako
 
Habari zenu wakuu, kama unahitaji kujenga ngazi za kisasa
"ngazi za kuelea elea"

nicheki nikufanyie kazi yako.

Hapo nimekabidhi kazi tayari, kilichobaki ni kutoa mbao za hapo chini tu.
Karibuni wakuuView attachment 3082144

0624254690
Kwa mazingira yetu ya kibongo huko chini si kutajaa mifugo kama mende, panya, kenge, nk? Pia, kusafisha huko chini unasafishaje? Maana si kutajaa sana vumbi na mauchafu ya kila aina kama majani makavu ya miti, na kadhalika?
Unayo picha ambayo ikiwa kila kitu kimekalimika na zimepigwa rangi? Je, inatakiwa kuchukua tahadhari gani au kufanya nini ili mwenye hizi ngazi asipate maudhi na aenjoy hizi ngazi?
 
Ok mkuu nakuelewa! Lakini yote ni kupendezesha nyumba tu.
Faida kuu ni kuwa na kitu cha kipekee.
Hapo ni sawa na tuseme mtu anayemiliki Ist na anayemiliki V8, wote ni usafiri ila mwenye V8 ana upekee wake.
Sasa hizo ngazi ni kama V8.
 
hivo vitu havijengwi kwetu uswahilini mabonde kuinama hata kufagia kazii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…