Habari wakuu, mimi nina bidhaa nyingi mnoo aliexpress zaidi ya mwaka sasa nina mizigo ya aina 15 hivi inakuja sasa issue ni kuwa leo nanunua inaniandikia kwamba the total number of order exceed the credit limit.
Jee nifanyeje
Update; ishakubali leo kulikua na tatizo kidogo kuhusu seller kumbe bei ya bidhaa ilipanda kidogo imenibidi nijazie jazie pesa ikakubali
Nimegundua baada ya kuniandikia maandishi kama hayo hapo (pichani)