Nafanya manunuzi mtandaoni inagoma inandikia hivi

Nafanya manunuzi mtandaoni inagoma inandikia hivi

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Habari wakuu, mimi nina bidhaa nyingi mnoo aliexpress zaidi ya mwaka sasa nina mizigo ya aina 15 hivi inakuja sasa issue ni kuwa leo nanunua inaniandikia kwamba the total number of order exceed the credit limit.
Jee nifanyeje

Update; ishakubali leo kulikua na tatizo kidogo kuhusu seller kumbe bei ya bidhaa ilipanda kidogo imenibidi nijazie jazie pesa ikakubali
Nimegundua baada ya kuniandikia maandishi kama hayo hapo (pichani)
 
Attachments

  • IMG_20180504_183800.jpg
    IMG_20180504_183800.jpg
    38.3 KB · Views: 41
Hiyo pesa unayo kweny account yako?
 
kuwa makini utalizwa hujui mambo ya mtandaoni ni balaa kuwa makini sana watakuibia halafu uje kulalama hapa shauri yako
 
Ali express wana alipay...wala asiwe na wasiwasi..kwan ww ushaibiwa ali express?
kuwa makini utalizwa hujui mambo ya mtandaoni ni balaa kuwa makini sana watakuibia halafu uje kulalama hapa shauri yako
 
Back
Top Bottom