Nafanya mazoezi mda huu,je wewe unafanya nini

Nafanya mazoezi mda huu,je wewe unafanya nini

Acha kuvuta shuka wanaume wenzangu tuamke tukapige tizi hali mbaya majumbani mwetu
 
Wengine tunafanya mazoezi jioni. Saa hizi tunapata 'morning glory'
Lakini mida hii ndo mwake unafanya mazoezi magumu na mazito lakini huoni kijasho but jioni kidogo majasho mengi
 
Back
Top Bottom