LJ BLOG
Senior Member
- Jul 24, 2011
- 194
- 154
Nasafisha na Kurestore taa za magari na kuzirudisha katika Upya wake Kwa kutumia Kifaa cha Kisasa na Teknolojia Ya Kisasa Kabisa Kwa Gharama Nafuu kabisa ya SH Elfu 35 na kuzifanya taa zako kurudia upya wake na Kukupa Mwanga wa Kutosha wakati wa Usiku na Kupata Muonekano Mzuri na Gari lako Kuongezeka thamani.
Faida Za Kutumia Mashine Hii ya Kisasa ni Kwamba
Inairudisha Lens yako katika Hali ya Upya wake Kabisa ambapo inaruhusu mwanga kupenya na kusambazwa kwa Asilimia 100
Inafanya taa zako zidumu zaidi na zaidi
Inakupa Muonekano Mzuri wa Gari lako
Na inaongeza thamani ya Gari yako
Lakini inachukua zaidi ya Miaka Miwili Taa zako kurudia kwenye uchafu, Unjano na Ukungu.
Karibu sana napatikana Tabata Segerea Ndani ya Eneo la Kituo cha Daladala Segerea Mwisho lakini Pia Ukihitaji Nakufuata Popote Ulipo kwa Dar Es Salaam Kwa Gharama Hiyohiyo ya Elfu 35
Tuwasiliane 0712 390 200 Sasa