Nafanya wiring za umeme wa nyumba kwa bei nafuu

Nafanya wiring za umeme wa nyumba kwa bei nafuu

wirewizard1

Senior Member
Joined
Jun 28, 2015
Posts
160
Reaction score
26
Mimi ni Fundi UMEME wa NYUMBA with much Exeperience...Kwenye Kazi hii...Natoa offa ktk kueneza network ya Kazi zangu...Nakufanyia Wiring ya UMEME wa NYUMBA aina yoyote...ile kwa BEI nafuu ya maelewano...Plse be serious...
Call me through...
0719844559...0685694589
Or..Pm through Jamii forum
 
Unaweza kusuka waya kwenye Main switch kama hivi??
 

Attachments

  • 1438793909653.jpg
    1438793909653.jpg
    37.8 KB · Views: 431
Najiuliza kama nyaya utazikosea kama ulivyokosea maandishi sijui itakuwaje??!
 
Mimi ni Fundi UMEME wa NYUMBA with much Exeperience...Kwenye Kazi hii...Natoa offa ktk kueneza network ya Kazi zangu...Nakufanyia Wiring ya UMEME wa NYUMBA aina yoyote...ile kwa BEI nafuu ya maelewano...Plse be serious...
Call me through...
0719844559...0685694589
Or..Pm through Jamii forum
Hapo kwa bei nafuu ndiyo mitego ilipo...kwanini msiwe wasema ukweli tu, au huna kiwango ndiyo maana unajitangaza unafanya kazi kwa bei nafuu
 
Unaweza kusuka waya kwenye Main switch kama hivi??
Swali gani hili .. Sasa kama mtu anaweza fanya wiringi ashindwe kusuka nyaya kwenye main switch haiwezekani hiyo...
 
Back
Top Bottom