wirewizard1
Senior Member
- Jun 28, 2015
- 160
- 26
Akikujibu nistueUnaweza kusuka waya kwenye Main switch kama hivi??
Hapo kwa bei nafuu ndiyo mitego ilipo...kwanini msiwe wasema ukweli tu, au huna kiwango ndiyo maana unajitangaza unafanya kazi kwa bei nafuuMimi ni Fundi UMEME wa NYUMBA with much Exeperience...Kwenye Kazi hii...Natoa offa ktk kueneza network ya Kazi zangu...Nakufanyia Wiring ya UMEME wa NYUMBA aina yoyote...ile kwa BEI nafuu ya maelewano...Plse be serious...
Call me through...
0719844559...0685694589
Or..Pm through Jamii forum
Swali gani hili .. Sasa kama mtu anaweza fanya wiringi ashindwe kusuka nyaya kwenye main switch haiwezekani hiyo...Unaweza kusuka waya kwenye Main switch kama hivi??