Nafanyaje ili nirudishe data zangu zilizokuwa katika memory?

phzhenry

Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
39
Reaction score
31
Kwa yeyote anayefaham jinsi ya kurudisha data zilizokuw katika memory card,memory card yangu ime corrupt.....

Screenshot_20211026-204634.png

Screenshot_20211026-204656.png
 
Hivi Hili linaendana na Kama simu yangu imezima imekufa ,naweza pata documents na picha nilizosave kwenye simu iliyokufa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama una simu nyingine download google photos login na email uliyokuwa unatumia kwenye simu iliyokufa. Utarudisha baadhi ya picha.

Kuhusu documents jaribu kulogin kwenye google drive unaweza ukazipata.
 
Hivi Hili linaendana na Kama simu yangu imezima imekufa ,naweza pata documents na picha nilizosave kwenye simu iliyokufa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama ulizi save katka google,ingiza google account yako katka simu nyingne alf nenda goodle photo na kwany drive
 
Kwenye simu iliyokufa sikuwa na Google photos , so email ya Gmail ambacho nimekirudisha ni phone number only .vingine Kama picha na documents vimesalia kwenye simu iliyokufa..kwenye hii simu mpya nikicheck Google photos hamna za zamani zilizokuwa kwenye simu iliyokufa.

Kama ulikuw hujasave kwenye google huwez zipata,ila labda kama kuna utaalam mwingine.
 
Back
Top Bottom