Nafanyaje kuwa pilot wa ndege?

Kiko Tabora Cha TRC na Kenya Kwa Train za kawaida Lakini ukitaka udereva wa Treni za mwendo Kasi Ulaya na Marekani na baadhi ya nchi za Asia kama Korea kusini vipo
Tabora ni main campus yao uko sahihi kabisa ila kwa fani za ufundi wa vichwa vya treni hasa kwa technicians wa Mechanical na Electrical pamoja na udereva wa treni sasa chuo kipo morogoro mule mule ndani ya karakana kuu ya shirika la reli.
 
Hawafundishi waendesha train za SGR wote waliopo wote walipelekwa nje ya nchi na shirika ra Reli Tanzania
Basi ni hivi kuna madereva juzi tu wamemaliza training hapo dar es salaam ambao ni madereva hawa hawa tu waliokuwa wanapiga mpini wa hizi diesel electric locomotive za MGR wapo waliokwenda nje kwa wiki 2 na wapo waliopigia hapa hapa training. Na baadhi ya online tv walionyesha wakipewa certificate za ku operate electric locomotives na training ilikuwa chini ya wa south Korea wenyewe waliounda machine.

Na kwasasa lipo kundi la jingine.
 
Ngoja nikomae huku shambani nipeleke watoto wangu shule za maana, ni raha sana kuwa na mtoto ana sukuma mtambo wa Fly Emirates ama Qatar Airways.
 
Ngoja nikomae huku shambani nipeleke watoto wangu shule za maana, ni raha sana kuwa na mtoto ana sukuma mtambo wa Fly Emirates ama Qatar Airways.
Nakutakia Kila la heri maisha ni kukomaa ili mtoto atoke kimaisha na Mzazi usikie Raha na kujidai kuwa mwanangu Yuko Qatar au Emirates anaendesha dege Toka bara moja Hadi lingine

Mzazi anayejielewa ni kuhakikisha mtoto anatoka kimaisha hasa na kweli kweli mpaka asikie kujidai kujivunia kutoka kimaisha mwanawe Kwa kiwango Cha juu mno kimataifa
 
Kaka urubani ni udereva kama ulivokuwa udereva mwingine na mtu yeyote anaweza kuwa rubani no matter umesoma HKL.


Ada ya kusomea urubani huwa ni gharama kubwa sana ndo maana sio kila mtu anaweza kuafford. Ada yake si chini ya milioni 45 kwa hapa bongo.

Lakini pia unatakiwa kujua usafiri wa mdege ni wa gharama sana na kumiliki ndege pia ni gharama hivyo unatakiwa kuwa na uhakika wa ajira sana.

Unaweza kuwa urban na unahustle miaka na miaka bila kupata ajira.

Ndege kama hizo Air Tanzania gharama yake ni kubwa sana kumiliki ndo maana asilimia kubwa ya ndege za nchi za sub Saharan state zinamilikiwa na nchi husika.

Jiulize tu je, ukishamaliza kusomea urubani ni tajiri gani ataamua kurisk akupatie ndege yake ukaigongeshe mlima kitonga?πŸ˜‚πŸ˜‚(Jokes)

Mara nyingi wamiliki wa ndege hupenda kuwasomesha ndugu na watoto wao ili waje kuwa marubani wa ndege zao.

Ila kama UNAWATU sikupingi ni kazi nzuri sana, ww ndo unakuwa Captain kwenye ndege, watu wote wanakusikiliza ww na ofcoz maokoto ni makubwa pia.
 
Anasoma labda aje kurusha ndege yake

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…