Kaka urubani ni udereva kama ulivokuwa udereva mwingine na mtu yeyote anaweza kuwa rubani no matter umesoma HKL.
Ada ya kusomea urubani huwa ni gharama kubwa sana ndo maana sio kila mtu anaweza kuafford. Ada yake si chini ya milioni 45 kwa hapa bongo.
Lakini pia unatakiwa kujua usafiri wa mdege ni wa gharama sana na kumiliki ndege pia ni gharama hivyo unatakiwa kuwa na uhakika wa ajira sana.
Unaweza kuwa urban na unahustle miaka na miaka bila kupata ajira.
Ndege kama hizo Air Tanzania gharama yake ni kubwa sana kumiliki ndo maana asilimia kubwa ya ndege za nchi za sub Saharan state zinamilikiwa na nchi husika.
Jiulize tu je, ukishamaliza kusomea urubani ni tajiri gani ataamua kurisk akupatie ndege yake ukaigongeshe mlima kitonga?😂😂(Jokes)
Mara nyingi wamiliki wa ndege hupenda kuwasomesha ndugu na watoto wao ili waje kuwa marubani wa ndege zao.
Ila kama UNAWATU sikupingi ni kazi nzuri sana, ww ndo unakuwa Captain kwenye ndege, watu wote wanakusikiliza ww na ofcoz maokoto ni makubwa pia.