NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Dola laki Moja???huo mtaji mkubwa kwa sisi watu wa kawaida na hiyo pesa kuimilika ni ngumu basi hiyo kozi ni kwa watoto wa vibopa tuu!Tafuta $100,000 nenda Flying School SA.
Naweka bei zake na aina ya ndege za kuanzia kujifunza kutoka coastal aviationDola laki Moja???huo mtaji mkubwa kwa sisi watu wa kawaida na hiyo pesa kuimilika ni ngumu basi hiyo kozi ni kwa watoto wa vibopa tuu!
Pitia hii mkuu upate pakuanzia wasikutishe ..Wakuu nahisi nina kitu.
Tafadhali nisibezwe maana hii imekuwa ndoto yangu kitambo sasa.
Sasa nataka mnipe ABC's za namna navoweza kuifikia ndoto yangu hii.
Naanzia wapi? natakiwa kuwa na nini? au kuwaje namimi nianze kujipanga.
Zingatia: Ni ndege hizi za mchawi mweupe kama hizi alizoleta magu na sio zile zenu za kuruka usiku tu.
Hiyo sio ada ni pratical cost wakati wa mazoezi tu......Gharama hizi hapa tusiumize kichwa
Tunamsaidia apate mwanga kwa anachokitakaHiyo sio ada ni pratical cost wakati wa mazoezi tu......
Mtu mwenye uwezo wa kulipa ada ya 250m lazima atakua na knowledge ya hiyo kozi, atakua mtoto wa tajiri upi asiejua ku google taarifa muhimu huenda ni mtoto wa mklima kama sisi kawaza tu na anataka ndoto yake aitekeleze.Tunamsaidia apate mwanga kwa anachokitaka
Hahahahaha...sawa sawa mkuuMtu mwenye uwezo wa kulipa ada ya 250m lazima atakua na knowledge ya hiyo kozi, atakua mtoto wa tajiri upi asiejua ku google taarifa muhimu huenda ni mtoto wa mklima kama sisi kawaza tu na anataka ndoto yake aitekeleze.
Vyuo vimetofautiana sidhani kama vyote ni hiyo Ada..Mtu mwenye uwezo wa kulipa ada ya 250m lazima atakua na knowledge ya hiyo kozi, atakua mtoto wa tajiri upi asiejua ku google taarifa muhimu huenda ni mtoto wa mklima kama sisi kawaza tu na anataka ndoto yake aitekeleze.
Mkuu ada ya chini ni ya Tanzania aviation sio chini 90m tena lazima kuna hatua ya kuenda south Africa kujifunza aircraft kubwa zaid........Vyuo vimetofautiana sidhani kama vyote ni hiyo Ada..
Coastal kwani wanafundisha urubani au wanaajiri marubani.Nenda NIT mabibo pale au Aviation uk Ukonga utaambiwa ama watafute coastal Aviation
Yeah ndio bei zake hizo.mkuu kweli hii ndio ada yake?
Ha ha haNaamisha wote ni madereva tofauti ni vyombo na hiyo course NIT ipo fomu elfu 10k tu
Hio kila kitu hadi unapata CPL aka commercial pilot license.[emoji15]Hii unalipia nini? - ada ya hadi kufuzu au nini?
Tafuta rubani wa hata ATCL muulize kama kasoma NIT. Huko labda ujifunze tule tundege twa kumwagilia dawa shambani.Nenda NIT mabibo pale au Aviation uk Ukonga utaambiwa ama watafute coastal Aviation
Mkuu ma rubani wengi wenye CPL ni watoto wa watu wenye uwezo. Sasa hivi wanaongezeka watoto wa kihindi.Dola laki Moja???huo mtaji mkubwa kwa sisi watu wa kawaida na hiyo pesa kuimilika ni ngumu basi hiyo kozi ni kwa watoto wa vibopa tuu!
Means ukakae gereji ya ndege,kazi yako kujaza mafuta na kubadikisha vipuri mbaya zaidi wanakufundisha kupitia ndege za enzi ya mkoloni ukifika airport unakutana na vitu vinatumia software kufanya diagnosis hatari snNIT wanafundisha aircraft engineering sio pilot