Nafanyaje kuwa pilot wa ndege?

Nafanyaje kuwa pilot wa ndege?

Gharama hizi hapa tusiumize kichwa
 

Attachments

  • Screenshot_20240527_090118_PDF Reader.jpg
    Screenshot_20240527_090118_PDF Reader.jpg
    122 KB · Views: 5
Wakuu nahisi nina kitu.

Tafadhali nisibezwe maana hii imekuwa ndoto yangu kitambo sasa.

Sasa nataka mnipe ABC's za namna navoweza kuifikia ndoto yangu hii.

Naanzia wapi? natakiwa kuwa na nini? au kuwaje namimi nianze kujipanga.

Zingatia: Ni ndege hizi za mchawi mweupe kama hizi alizoleta magu na sio zile zenu za kuruka usiku tu.
Pitia hii mkuu upate pakuanzia wasikutishe ..
 

Attachments

  • Screenshot_20240527_090118_PDF Reader.jpg
    Screenshot_20240527_090118_PDF Reader.jpg
    122 KB · Views: 5
Mtu mwenye uwezo wa kulipa ada ya 250m lazima atakua na knowledge ya hiyo kozi, atakua mtoto wa tajiri upi asiejua ku google taarifa muhimu huenda ni mtoto wa mklima kama sisi kawaza tu na anataka ndoto yake aitekeleze.
Vyuo vimetofautiana sidhani kama vyote ni hiyo Ada..
 
Back
Top Bottom