Nafanyaje kuwa pilot wa ndege?

Nimeweka bei ya best flying school SA. Rafiki yangu alisoma huko. Hata hivyo sidhani kama utamaliza hio kozi hadi upate cpl chini ya $70,000
Kwa sisi wana uchumi tunasema hivi $70,000 ni equivalent roughly 150m Tz shilling unauwezo wakupata sehemu kubwa pale postor ukafungua supemarket ya gharama ya 120m ili uzie ma pilot na crew wanao wahi airport na elites wengine kwa siku faida ni 700k to 1m kwa mwezi ni 21m hadi 30m mshahara wa pilot armature ni 2m to 5m kama kabahatika kupata ajira......kwahiyo bora uwekeze hiyo pesa ili usomeshe wanao upilot huo.
 
Nimeweka bei ya best flying school SA. Rafiki yangu alisoma huko. Hata hivyo sidhani kama utamaliza hio kozi hadi upate cpl chini ya $70,000
OK vipo vingi mkuu na best kipo cha Eastern Cape,Pretoria, Johannesburg vilianza miaka ya 1970 vingine 1981 nadhani mimi mdogo angu alisoma hicho cha Cape miaka ya nyuma kidogo sidhani kama ilikua fee kubwa kihivyo maana alifanya kazi hapo hapo akalipa Ada mwenyewe amefanya kazi SAA sasa hivi yupo na ET naona muda mwingine anaenda na Rwanda kwa sababu ya Ubia wao...
 
Bongo kusoma pilot uwongo ..
Naona watu wanatoa na fomu kabisa hapa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Vyuo vipo SA na Ethiopia huko...
 
Mkuu ukiwa na hela priority yako ni furaha ya mtoto wako. Sasa mtoto ana ndoto ya kusoma urubani na $100,000 kwako so kitu unatoa tu.
Nina marafiki watatu marubani mmoja kasoma SA, wawili wamesoma USA huko bei kubwa zaidi. Urubani bei rahisi kidogo ni PPL aka private pilot license...ilq ukitaka kupanda kwenye commercial pilot license ni gharama sana.
 
Mkuu usihangaike na hawa watu,mtu anasema ndoto yake kua Pilot anaambiwa afungue Supermarket!
Ndio maana unakuta kuna Uzi mtu anatafuta Gari la kununua la milioni 7 halafu anakuja mtu kumwambia hiyo milioni 7 kwanini usiwekeze!
Tupunguze ushauri,kila mtu ana mipango yake.

๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
nenda south africa vyuo vipo vingi na sio bei kubwa sana
 
Tatizo letu wengi tuna shida za akili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kama wazazi wako wamewekeza kweli kweli aina shida kujipa uneconomical priority kufurahisha nafsi ya mtoto, ila kama ni sisi watoto wamakabwera lazima tuangalie cost na masirahi........"African parent is adictetor always" ndo utaweza family zetu uhuru ulio pitiliza unaharibu mtoto, " soft life does not make men?
 
Ushauliza Ada kweli una kitu lakini Ada yake Utauza figo yako moja ili ulipie Utachagua figo ya Kask au Kusini ya Mbele au ya nyuma alafu uongeze na gharama kidgo ya kiganja cha mkono๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkuu nasikia ukiuza UTI wa mgongo unaweza kusoma pilot ukapata leseni na pesa ikabaki ukanunua na ndege kabisa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mimi ni Rubani pia.(lakini sija ajiriwa naruka na ndege yangu binafsi)
Kitu cha kwanza amini kwamba unaweza.
Pili ndege ni rahisi kuliko kuendesha Lori.
Mafunzo ni ghali ila kuna njia mbadala....itategemea sehemu ulipo na uwezo wako wafadhili n.k.
1. Afya na utimamu wa akili.
2. Student Pilot license
3. Private Pilot Licence
3. Commercial Pilot License....hapa ndio unaweza kuajiriwa pia kuna vipengele kwa mfano aina ya ndege uliyosomea na masaa ktk Log book
4.Air Transport Pilot License....
 
Kama ungekuwa mwanajeshi na elimu unayo na una connection na wakubwa isingekuwa ngumu. Kwa ufupi ukiwa mjeshi hata kama unatoka familiya ya kawaida ni rahisi kwenda kusoma. Serikalini kuna hivyo vijinafasi.

Au pesa kwenu sio shida

Au baba yako mfanyabiashara mkuwa

Au mwanasiasa mkubwa.

Angalia watoto walio soma urubani wanatoka familiya gani?
 
Anza kubet na kile kindege (aviator) utanishukuru...

Kuna page kule fb inatoaga nondo za aviation ngoja niicheki niiweke hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ