Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Unafikiri wanapewapewa tu kuna Muhuni amejiokoteza mpaka million 190 na bado akarudi kwenye Redio Ili achangiwe na wadau aende kusomea urubani hela haitoshi, hadi nilishangaa urubani mboni gharama sanaakirudi ndege kubwa hii hapo yeye Ndie pilot