Nafanyaje kuwa pilot wa ndege?

Nafanyaje kuwa pilot wa ndege?

Niambie Mkuu huko sasa hivi sijafatilia Ada zao zinakwendaje ila vyuo navijua na nimefika nilipokua nafatilia fursa miaka hiyo ila niliona ni kawaida kwa sababu dogo alichanga mwenyewe pesa zake akasoma yupo kazini ingekua hatari nadhani dogo asingefanikisha..
Mkuu ujawahi kujibu swali langu..
We ni pilot au aircraft eng..?
 
Kwahio wewe ni Mtanzania wa kwanza kuwa na private jet na hatumjui. Mwanzo umeanza vizuri watu wakaona unawapa alternative ya cheap flying school. Mara unaanza vituko oh rahisi kuliko lori blah blah ninaendesha ndege yangu sijui nina meli za mizigo halafu unaishia kuweka ndege ya ku download!
Mtu akibanwa lazima utegemee mambo kama hayo mkuu 😂😂😂😂😂
 
Kwahio wewe ni Mtanzania wa kwanza kuwa na private jet na hatumjui. Mwanzo umeanza vizuri watu wakaona unawapa alternative ya cheap flying school. Mara unaanza vituko oh rahisi kuliko lori blah blah ninaendesha ndege yangu sijui nina meli za mizigo halafu unaishia kuweka ndege ya ku download!
Cheki vizuri picha utaona muda halafu jiulize nipo wapi....
 
Wakuu nahisi nina kitu.

Tafadhali nisibezwe maana hii imekuwa ndoto yangu kitambo sasa.

Sasa nataka mnipe ABC's za namna navoweza kuifikia ndoto yangu hii.

Naanzia wapi? natakiwa kuwa na nini? au kuwaje namimi nianze kujipanga.

Zingatia: Ni ndege hizi za mchawi mweupe kama hizi alizoleta magu na sio zile zenu za kuruka usiku tu.
hizo ndoto uliota wapi na lini?
unataka uwe rubani kwenye ndege ya nani?
 
Unafikiri wanapewapewa tu kuna Muhuni amejiokoteza mpaka million 190 na bado akarudi kwenye Redio Ili achangiwe na wadau aende kusomea urubani hela haitoshi, hadi nilishangaa urubani mboni gharama sana
Mie nilitaka kumuuliza kwao mawe yapo maana kwenda huko serikali yenyewe itakuchangia kidogo sana
 
Back
Top Bottom