Wakenya Wana kitu kinaitwa Harambee ukoo mzima na marafiki huitwa kikao Cha kuchangia ada mtoto akasome course nzuri Marekani na Ulaya ikiwemo Urubani na Pesa hupatikanaTatizo huwa ni ada tu
Asomee hata udereva wa treni..sgrFor sure nilipanga mtoto wangu asomee urubani lakini hapo sitaweza,,ngoja nijichange halafu nijilipue nimtafutie chuo ughaibuni akapambane mwenyewe maana hata akisoma hapa bongo ni shida tu!
Kiko Tabora Cha TRC na Kenya Kwa Train za kawaida Lakini ukitaka udereva wa Treni za mwendo Kasi Ulaya na Marekani na baadhi ya nchi za Asia kama Korea kusini vipoUdereva wa treni unasomea wapi ?
Chuo cha reliUdereva wa treni unasomea wapi ?
Hivi chuo cha reli tabora bado kipoUdereva wa treni unasomea wapi ?
Hahahahaha kwa kweli sijuiHivi chuo cha reli tabora bado kipo
Ova
Inazidi mpaka ada ya PhDAda chuo Cha Bei ya chini ni Dola 64,000 sawa na shilingi za kitanzania kama roughly milioni 160
Kinafundisha udereva wa treni za kawaida sio SGR za mwendo kasiChuo cha reli
Kipo na kinatoa mafunzoHivi chuo cha reli tabora bado kipo
Ova
Ndio hiko tabora ? Wanafundisha kuendesha sgr ?Chuo cha reli
Ok 👍 hapo sawaKiko Tabora Cha TRC na Kenya Kwa Train za kawaida Lakini ukitaka udereva wa Treni za mwendo Kasi Ulaya na Marekani na baadhi ya nchi za Asia kama Korea kusini vipo
Kutokana na mabadiliko wataongeza mtaala; ni sawa na kuhama kutoka kwenye magari 'manual' na kwenda 'automatic'Kinafundisha udereva wa treni za kawaida sio SGR za mwendo kasi
Sijajua kama wanafundisha mambo ya sgrNdio hiko tabora ? Wanafundisha kuendesha sgr ?
Kiko Tabora Cha TRC na Kenya Kwa Train za kawaida Lakini ukitaka udereva wa Treni za mwendo Kasi Ulaya na Marekani na baadhi ya nchi za Asia kama Korea kusini vipo
Mshahara wa rubani mwenye CPL licence yaani Commercial Pilot License anayeendesha ndege za abiria unazidi wa Professor Tena mbali mno hamfikii achana na ada ya PHD.mbona mdogo mnoInazidi mpaka ada ya PhD
Hawafundishi waendesha train za SGR wote waliopo wote walipelekwa nje ya nchi na shirika ra Reli TanzaniaNdio hiko tabora ? Wanafundisha kuendesha sgr ?
Miundo mbinu Hadi ijengwe sio Leo Hilo na bajeti zote zilizopo hakuna mahali serikali imetenga Pesa ku upgrade hicho chuo kuwa kitaanza kutoa mafunzo ya udereva na ufundi wa Train za SGR za mwendo Kasi .Hakuna bajeti hiyo ndani ya TRC Wala serikaliKutokana na mabadiliko wataongeza mtaala; ni sawa na kuhama kutoka kwenye magari 'manual' na kwenda 'automatic'
we jamaa una zerewi sana[emoji1787]kazi ya mbaba mtu mzima tena anayetegemewa na ukoo mzima hlf wewe unasema anakodoa mimacho[emoji1]utani wa ngumi kabisa huuMbona Wana majina tofauti Rubani ni yeyote anayeendesha chombo Cha moto hewani kusiko na Ardhi akitumia utaalamu na dira sio kukodoa macho tu
Dreva ni muendesha chombo Cha moto ardhini bila kutumia utaalamu wa Hali ya juu Wala dira anaendesha Kwa kukodoa mimacho tu kama mjusi aliyefiwa na mkwewe kuangalia mbele kwenye barabara bila dira yeyote