Wakenya Wana kitu kinaitwa Harambee ukoo mzima na marafiki huitwa kikao Cha kuchangia ada mtoto akasome course nzuri Marekani na Ulaya ikiwemo Urubani na Pesa hupatikanaTatizo huwa ni ada tu
Sisi harambee yaani michango ni ya Harusi na misiba tu ndiko tuko very serious