Nafanyaje kuwa pilot wa ndege?

Mkuu,
Wewe umesha zeeka io ndoto iamishie kwa kijana wako au mjukuu wako
Kwa Sasa jikite kutafuta pesa kwa bidii ili uweze kufanikisha Hilo through your bloodline..
 
mkuu ukiwa pilot usisahau kuleta mrejesho hapa
 
Mshahara wa rubani mwenye CPL licence yaani Commercial Pilot License anayeendesha ndege za abiria unazidi wa Professor Tena mbali mno hamfikii achana na ada ya PHD.mbona mdogo mno
Huo mshahara ni bei gani kwa tarakimu? Wengine hatujui, msaada tafadhali.
 
Kwa wenye Pesa pekekeni watoto kusoma Embry riddle University Marekani ndio huo Bora duniani kwenye mambo ya vyombo vya anga wanafundisha uinjinia Hadi kuendesha roketi za kwenda anga za juu huko mwezini nk

Ni chuo Namba moja duniani Kwa mambo ya anga na ajira kimataifa nje nje Harudi Tanzania huyo

Watanzania wenye Pesa acheni ubahili .Kuwekeza sio biashara tu ni pamoja na Elimu Bora Kwa mtoto Tena Bora hasa sio Bora Elimu

Ni aibu Kwa mtu mwenye Pesa mtoto wake naye kulia Lia kugombea ajira na watoto wa maskini za laki saba Kwa mwezi na degree yake wakati angesoma Hivyo vyuo angepata mshahara wa milioni 30 minimum Kwa Kwa mwezi akiajiriwa

Wenye Pesa pelekeni watoto nje course za uhakika zenye ajira zenye Pesa nyingi acheni kufrustrate watoto wanagombea viajira vya serikali vya Pesa ndogo na watoto wa maskini

Pesa Sasa mbazitafuta za Nini kinunua uchawi au? Mtoto kweli na mipesa yenu anashinda kugombea viajira na vivyeo vya kisiasa vya vihela vidogo sio sahihi
 
Hizo ni 250m za kitanzania ukute ata kusoma shule za private za ada ya 1.8m ulikua mtihani sasa atafute 250m kwa certificate ya pilot loh.
Na mpaka aje apewe dege ka Boeing afanye kazi kweli kweli.
 
Ushauri mzuri sana, ila ndio hivyo kaka. Lazima afaulu vizuri hizi shule zetu za kayumba.
 
Pilot ni dereva kama dereva wa Basi la Abood
 
Ushauri mzuri sana, ila ndio hivyo kaka. Lazima afaulu vizuri hizi shule zetu za kayumba.
Mwenye Pesa anapelekaje mtoto Shule ya kayumba

Watoto wa wenye Pesa na wao wanatakiwa wachachamae Kwa wazazi wao kuwa Wewe Pesa unayo unanipekekaje Shule ya kayumba? Sitaki na siendi

Watoto Wana Haki zao kupata Elimu Bora

Mzazi ana Hela watoto wamkomalie awapeleke Shule Bora sana na vyuo Bora duniani
 
Usomee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…