Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mkuu,Wakuu nahisi nina kitu.
Tafadhali nisibezwe maana hii imekuwa ndoto yangu kitambo sasa.
Sasa nataka mnipe ABC's za namna navoweza kuifikia ndoto yangu hii.
Naanzia wapi? natakiwa kuwa na nini? au kuwaje namimi nianze kujipanga.
Zingatia: Ni ndege hizi za mchawi mweupe kama hizi alizoleta magu na sio zile zenu za kuruka usiku tu.
Wewe umesha zeeka io ndoto iamishie kwa kijana wako au mjukuu wako
Kwa Sasa jikite kutafuta pesa kwa bidii ili uweze kufanikisha Hilo through your bloodline..