Nafarijika sana kumuona mzalendo nambari moja akiwa kazini

Nafarijika sana kumuona mzalendo nambari moja akiwa kazini

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau wa JF

Ninafuraha na amani kubwa nimuonapo
Malendo Nambari Moja akichapa kazi

Matokeo ya haraka
Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu
KaziIendelee

Hongera sana Kiongozi wetu Mkuu

FB_IMG_16239599517831587.jpg
 
Weka akiba ya maneno, utakuja kunishukuru siku si nyingi. Anyways, tuchape kazi kwa bidii, tulijenge taifa letu zuri la Tanzania.
 
Hebu fafanua kwa faida ya wengi

Unajua kuna wakati mwingine katika maisha ya mwanadamu solid facts huwa ^sea key-two^ na wala hazisaidii chochote whatsoever kwa baadhi ya watu, isipokuwa tu ku-serve baadaye ili ziweze kuthibitisha kwamba ^kweli jamani, hili lilisemwa na limetokea hivyo kabisa! We were foolishly mistaken!^
 
Roho inakuuuuuuumaaaaaaa ukiona anasifiwa eeeenh. Kunywa maji ya vugu vugu huwa yanapunguza kimuhe muhe.

I thought mlikataa habari za misifa, ama ni mwendo wa madarasa mawili (double standard)!??? On a serious note: Unajua mtu kusifiwa, inategemea na yule anayesifu kwamba ni nani hasa, sawa!??? All I'm asking, wekeni akiba ya maneno, mtakuja kunishukuru muda si mrefu.
 
Bila ufafanuzi wa kina utasalia kuwa mpinga maendeleo

Watanzania Wazalendo tumeamua kumuunga mkono Kiongozi wetu Mkuu
 
Back
Top Bottom